nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
I regret this so badly n am feel very sorry for my soul..unajua kuna some incidence huwa zinatokea bila hata kutegemea..cjui hata nifanyeje ..when I look at my son drop of tears hits the ground
Na umejihakikishiaje mtoto ni wako??
Wakati unamtia hukuwahi kuomba ushauri.... namtia nisiyempenda majibu ya kazi yako yametoka unataka tusahihishe... no way out learn how to love her..... unakojoa tu uliambiwa unaotesha mti.... ole wako mtoto ateseke pumbafuu kabisa..... Alafu utakuta unakuja na swali mbona wanawake wanazalia nyumbani ulianzaje kumtia huku umpendi swali?
Umeuliza swali zuri sana,nimeanzaje kumtia wakat simpendi ..right ni kwamba she was the one who spoke to me kwamba ananihitaji,of course nilimkatalia kwamba siko tayari nina mpenzi wangu(though kwa muda huo nilikuwa single)but hakutaka kuelewa kila siku akawa anaendelewa kuniplease huku analia mara kwa mara..at the end of the day nikamwambia basi tuwe marafiki wa kawaida tu.sasa katka urafik wetu wa kawaida akafanikiwa kunishawishi na mm kama binadamu nikajikuta nimeanguka so am very confused by now!!
Sasa cha kufanya ni wewe kujishawishi kumpenda yeye na mtoto ... tunza familia yako
we hufanani na ndugu zako wa kiume??
kwani ata huyo mtoto aliyemzaa humpendi?
He is my son n I do love him.lakin amezaliwa kwa mama siye!
If possible give me the secret how to do this..unajua naweza try to love her lakin sidhan kama ntaweza show real love..
He is my son n I do love him.lakin amezaliwa kwa mama siye!
mwambie tu ukweli kuwa humpendi na mtoto umlelee kwa mama wa kambo ikiwa mapema! kwa mtindo huu hata hiv hitaisha maana vijana ata kondomu hawazijui kabisa!Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.