Nimezaa na mke wa Mtu

Usijali sana maana hata wewe unalea watoto wa watu.watakulelea tu.
 
ndo wale wale...swali unauwakika ngani mimba ni yako?
 
una uhakika kwamba ww ndo baba wa mtoto au amekwambia tuu na ww umekamatia hapo hapo
 
:A S angry::A S angry: Umezaa na mke wa mtu, na mimi ni mtu, ushauri unakuwa mgumu.
 
Wewe ni --------, unajua wazi ni mke wa mtu na unalala naye,au alikubaka? Akili haikuwepo au akili ilihamia sehemu za chini?siwezi kukushauri chochote maana ulidhamiria kufanya hivyo na matokeo yake ndo hayo uyakubali pia.
 
mtume muhammad swallallahu alayhi wasallam amesema 'ittaqu nnisai,wattaqu duniya' maana yake 'waogopeni wanawake na iogopeni dunia'.
 
Post za namna hii mziache huko facebook huku ni great thinkers,halafu unavyoongea utafikiri labda ni jambo zuri umefanya?ngojea mumewe akufaham utaisoma namba.
 
Mshirikishe mumewe,kama wanaume mtafute suluhisho.
 
kwanini ulimuonyesha unapoishi??? alivyoanza tu kuja kwako ndio ungekuja kuomba ushauri ingesaidia, ila sasa hivi umechelewa,mwache azae tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…