Kwanza, wee umezaa na mke wa mtu au umempa mimba mke wa mtu?
Nasikia kuna uwezekano wa mtu kupewa dawa ambayo itasababisha mimba kuharibika"""
Nasikia kuna uwezekano wa mtu kupewa dawa ambayo itasababisha mimba kuharibika"""
Mmmh ulikuwa kwa kichwa yangu ama...naona tumewaza sawa
Kwanza, wee umezaa na mke wa mtu au umempa mimba mke wa mtu? SUbiri mtoto wa akizaliwa utajua la kufanya, sasa endelea kukata mauno tu bila ngoma.
Kwa hiyo ukiambiwa tu nina mimba yako baaaaas nawe unabeba mimba ya mawazo!!!!!
Una uhakika gani kuwa ni mimba yako...wakati yeye ni mke wa mtu!
Kitanda hakizai haramu bwana. Uhakika kuwa mimba ni yako ni nini? Au mumewe hayuko? Akili kwa kichwa.