Mdogo'angu itabidi sisi sisi humu JamiiForums tuwe waalimu wako wakujitolea amini utakaa sawa tu kama sisi wengine.naanza;nakusahihisha hii sentesi yako hapo juu,ilitakiwa uandike
“ASANTE SANA ILA NILIOTA KABLA YA KUJIUNGA HUMU"
Kinachoonekana kwako siyo kwamba una kilema cha kutokujua kuandika ila tatizo lako ni unaandika ile lugha unayoisema mdomoni, nakushauri uwe unasoma sana majarida ya kiswahili na ukiandika angalia kwa umakini kioo cha simu yako kama ulichoandika ni sahihi hata kama sentence moja utatumia dakika kumi ila uwe umepangilia herufi zinavyotakiwa kidogo kidogo utakaa vizuri.hata hapa jukwaani unaweza kujifunza kwa kuangalia wanavyoumba sentesi wenzako utajua tu.