Nimeweka nia ya dhati na nimeweza

Nimeweka nia ya dhati na nimeweza

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,035
Reaction score
2,211
Ilikuwa ngumu sana kutoka kwenye chama pendwa chaputa nilijarib mara nying sana ila niliishia kurudi chamani sasa yapasa miez 7 sasa nimetoka chamani nipo huru sasa

Watu wanaaminishana kuwa kuacha ni ngumu ila nimeona kikubwa ni nia ya dhati mm nilijiwekea kutoka moyoni kuichukia nyeto kama ninavyo uchukia ushoga

Mwanzon kabisa nilitumia mbinu nyingi sana mpaka niliamuwa kuuza simu ila wap ila kwa sasa nimeweza namshukuru Mungu

Kama unataka kuacha weka nia ya dhat kabisa kuwa sitafanya hata iweje
 
Ilikuwa ngumu sana kutoka kwenye chama pendwa chaputa nilijarib mara nying sana ila niliishia kurudi chamani sasa yapasa miez 7 sasa nimetoka chamani nipo huru sasa

Watu wanaaminishana kuwa kuacha ni ngumu ila nimeona kikubwa ni nia ya dhati mm nilijiwekea kutoka moyoni kuichukia nyeto kama ninavyo uchukia ushoga

Mwanzon kabisa nilitumia mbinu nyingi sana mpaka niliwa kuuza simu ila wap ila kwa sasa nimeweza namshukuru Mungu

Kama unataka kuacha weka nia ya dhat kabisa kuwa sitafanya hata iweje
Hongera sana naomba jitahidi usijiunge kwenye chama hiki kipya kinajiita mabaharia

Ikiwezekana wape ujanja hao jamaa wanaojiita mabaharia namna ya kutoka na wafunge hicho chama chao mkuu
 
Siyo kwamba hatutaki kuacha hapana. Ila hatujaona sababu ya kuacha. Hata kama tukijiondoa kuna chama gani kingine kilichobora kuliko chaputa?
Nilikuwa na ufahamu kama wako ila baada ya kuamua kufahamu zaid juu ya kitu ninachokifanya kuwa nisahihi au sisahihi na kinafaida na madhara gani basi baada ya kufany hivyo kwa kina nikagundua sio nzuri
 
mkuu samahani. una umri gani kwa sasa? na chaputa ulikuwa miaka mingapi huko
 
Hongera sana naomba jitahidi usijiunge kwenye chama hiki kipya kinajiita mabaharia

Ikiwezekana wape ujanja hao jamaa wanaojiita mabaharia namna ya kutoka na wafunge hicho chama chao mkuu
Kwakweli.
Hiko chama chao me hakijanibariki 😣 nimejikuta siko interested na watu wanaojiita mabaharia.
Rafiki natumaini we haupo chamani
 
mkuu samahani. una umri gani kwa sasa? na chaputa ulikuwa miaka mingapi huko
30s na nimetumikia chama kwa miaka 12 nilikuwa addicted kabisa ila any addiction huondoka kama ukiwa na nia ya dhati

Ilifika kipindi nikiona mafuta geto napata mzuka aseeh its dangerous hii kitu
 
Unatakiwa uoe,na umpate mtu atakayekuwa anakupatia huduma pale unapohitaji;tofauti na hivyo utakuwa unautesa moyo wako tu hasa pale utakapotamani na huna uhakika wa kupata.
 
Nilikuwa na ufahamu kama wako ila baada ya kuamua kufahamu zaid juu ya kitu ninachokifanya kuwa nisahihi au sisahihi na kinafaida na madhara gani basi baada ya kufany hivyo kwa kina nikagundua sio nzuri
Madhara ya punyeto yanayonadiwa kila kona ni. Kupunguza nguvu za kiume. Uume kulegea.

Sasa pima katika hayo madhara mhusika yanamdhuru vipi wakati wanaodhulika nayo ni wanawake! Hivi nguvu zako za kiume zikipungua anayeumia ni wewe ama mkeo? Uume wako ukiwa legelege anayeumia ni wewe ama mkeo? Kutokuwa na hamu ya tendo we inakudhuru nini? Mi nasubiri kama madhara yatakuwa yamesimama upande wa uchumi na uboreshaji ea teknolojia hapo ndipo nitaanza kampeni za kukipinga chama pia nitajiondoa katika chama. Ama madhara yake yakiwa ni kudidimiza nguvu za kikazi yaani kulegea kwa mikono si kulegea kwa dushe
 
Uwe makini huku ulikokimbilia.
1. Kinga
2. Kupima

Vipe kipaumbele.
 
Kwakweli.
Hiko chama chao me hakijanibariki nimejikuta siko interested na watu wanaojiita mabaharia.
Rafiki natumaini we haupo chamani
Pole mkuu kumbe na wewe linaku bore!

Hilo chama lao linatrend kwa kadi sana sijui nani kalianzisha halafu halina mbele wala nyuma mkuu

Atakuwa amelianzisha yule mzee wanamuita Lemubebez maana ndiye anajiita baharia mkongwe tehe..!
 
usimpe ushauri wa kijinga, kuoa bila malengo ni kujiongezea stress, mwanamke ni mtu tofauti sanaa ktk jamii si kitu cha kuamua leo na kesho kuoa. kuna watu wameoa na chaputa ni makatibu taifa. kikubwa ni kuacha yeye kama yeye chaputa
Unatakiwa uoe,na umpate mtu atakayekuwa anakupatia huduma pale unapohitaji;tofauti na hivyo utakuwa unautesa moyo wako tu hasa pale utakapotamani na huna uhakika wa kupata.
 
Back
Top Bottom