Hako ka milioni 10 kako kanywee tu bia kama unaweza wapa ukahatarisha maisha yako bwasheeNina milioni 10 hapa nataka kuitoa sadaka kwa madogo waliopigika ila sijui nawasaidiaje nikaendelea kubaki anonymous kwa sababu nimeibagaza sana CCM humu😁
Natafuta kazi yoyote hata za ndani.
madogo wadownload cryptowallets mtumie monero ambayo ni untraceable.Nina milioni 10 hapa nataka kuitoa sadaka kwa madogo waliopigika ila sijui nawasaidiaje nikaendelea kubaki anonymous kwa sababu nimeibagaza sana CCM humu😁
Nje ya mada,Natafuta kazi yoyote hata za ndani.
Babe Sis..!Uzi huu no alcohol was detected 🤨
Leo unaumwa bwashee?
Bila shaka upo bar.
Akili za pombe ukishalewa unatoa ahadi kedekede ila sasa tungi likishaisha kichwani akili inakukaa sawa .
Kumbe upo!Babe Sis..!
unaendeleaje..!?
Mtaani kwangu hakuna maskini, naomba nikutoe hofu , sasa tumechanga kama wanakijiji zimefika billion 50 tunataka kibali cha barabara ya lami kwenye kijiji chetu , tunasubiri majibu ya tanroad tu kwa sababu barabara ipo chini ya taruraNimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔
Anzisha NGO/FOUNDATION usaidie watu wenye shida haswa achana na hao wa connection sijui mtu kashindwa kulipia Kodi ya chumba! Kuna watu Wana shida kwelikweli hata mtaani kwako Wapo.
Dogo naona huu Uzi umeupenda sana Bora umepata backup kidogo maana ungeanzisha wewe Uzi huu watu wangekunanga sana dogoUmesema kweli The Icebreaker . Msaada wa kweli hauhitaji matangazo; muhimu ni kugusa maisha ya mtu na kupata amani moyoni. Privacy nayo ni muhimu sana. 🙏
Hivyo vi emoji si vumeweka ili vitumike,? Kama sehemu ya like utapewa kama siyo dislike lazima ihusike ,hatuwezi fanana mawazoNje ya mada,
Kwanini hua unapenda kuniwekea emoji ya dislike kwenye comments zangu?
Nipo ndugu yangu..!Kumbe upo!
Kitambo sana.
Bwashee tunamaliza pesa kwenye mapombe na kuna madogo hata kula ni ngumuOoh tupigeni marufuku Keupe, sasa madini kama haya tutayapata wapi 🤪
Katika watu wa kuaminiwa ni mlevi akiwa amelewa na mtoto mdogo tu
Bwashee, naunga mkono hoja
Japo tunapaswa kuchukua tahadhari, Tanzania ya mwaka 2013 sio ya 2026
😂 Kweli dogo, backup ikitokea hata wanaokunanga wanapunguza kasi. Muhimu hoja imefika na watu wameielewa.Dogo naona huu Uzi umeupenda sana Bora umepata backup kidogo maana ungeanzisha wewe Uzi huu watu wangekunanga sana dogo
Nipo poa kabisa.Nipo ndugu yangu..!
Unaendeleaje.!?
Nipe kazi nikapige Mkuu,.Mhmmm sio kweli
Nabarikiwa kusikia hivyo..!Nipo poa kabisa.