Nimewaweka mademu sita on hold

Nimewaweka mademu sita on hold

Joined
May 10, 2012
Posts
92
Reaction score
71
Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

Hao sita unahakika gani kama wako peke yako? unakula nawenzio sahani moja inama ufikiri .....................?????
 
Inamaana huwezi kuws trusted ndio maana una wengi binafsi huwa sioni umuhimu wa watu wengi on my back ambao nawadanganya

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwani kuna tofauti gani kati madada poa na hao ambao hawajajitangaza rasmi?
 
hata hao ni madada poa kwako...hujui tu...umeshikwa masikio
 
Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

Kupima ni hatua moja na maisha baada ya kupima ni hatua nyingine,wengi wanadhani wakishapima ndio tiketi ya kwenda kujiachia,mtakufa vibaya maana virus wakati mwingine ndio vinakuwa vimeingia na havijasambaa hivyo si rahisi kuonekana,haya mwenzangu unaenda kupima nae leo na unajiachia mwanzo mwisho ujue kaburi la mapema linakukaribia.

Kuwa na wanawake sita si ujanja na ni kujiweka katika hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa.
 
jetuko wangapi? Ndo hiyo sasa wenyewe mmeona. Na kila demu na yeye kwa hold wanaume wa tano na wewe wa sita, kaa ukijua ngoma droo hapo mwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom