Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,735
- Thread starter
- #61
Wapi nimesema nimeongea dakika miatano? "..nikacheki mda nilioongea na mpenzi wangu hata jumla dakika miatano kwa wiki nzima hazijafika.." ina maana ukiandika x<3 ni sawa na kusema x=3 ? Usiwe na papara ya kujibu kitu bila kusoma kwani umeambiwa thread huwa inajaa kuchangia?Unaongea na demu dakika miatano? Daaah! Mimi tangia huu mwaka uanze sijatumia dakika40kwa mademu wote niliowasiliananao