kwahyo wataka kupigana au?Kwa hiyo mimi ni kichaa kusema kwamba ni Halotel? Ama wewe unajua matumizi ya simu yangu kuliko mimi?
Aisee haya majambazi sijui ndo majizi HALOTEL ni kasheshe kwenye simu yangu.
Ipo hivi, wiki mbili zilizopita nilijiunga na kifurushi cha mwezi cha 10,000 nikapata Dakika 800 halotel, 80 mitandao yote, na MB 6500. Sasa cha kushangaza mimi huwa nawasiliana na mchumba wangu na yeye ana halotel tu.
Na ni mara chache sana huwa napiga simu mitandao yote na kwa kipindi cha wiki moja baada ya kujiunga na hiki kifurushi sikumbuki hata kutumia zaidi ya dakika 10 mitandao yote.
CHA KUSHANGAZA
Leo naangalia salio la kifurushi nakuta sina dakika halotel halotel, na sina dakika mitandao yote.. nikacheki mda nilioongea na mpenzi wangu hata jumla dakika miatano kwa wiki nzima hazijafika. Yaani nimechoka mpaka sasa najiuliza sipati majibu.
Nafikiria kuliamsha dude ila napiga huduma kwa wateja siwapati.. Nipo nje ya mji kwa sasa mpwawa nafikiria nikirudi nikaliamshe dude.
ILA KWA WANOTUMIA HUU MTANDAO WA MAJAMBAZI KUWENI MAKINI, HAYO MAJITU NI MAJAMBAZI YA KIMATAIFA YENYE MTANDAO WA SIMU
Hamia aiairtelau hujawahi sikia haya matangazo yao ?Sijui niende mtandao gani sasa... nimechukua line ya TTCL kwa hasira leo ikinishinda na yenyewe itabidi nihame nchi kabisa
Weeeee Yule Le Binadamu ni wa aina yake aisee hawezi kufanya vile..Mchumba wako kakuibia hebu muulize vizur !!
Ni kutumia advantage tu mkuu.. hiyo ni kawaida wala sio suala la uanafunzi.. kwenye masoko ya fedha kuna kitu kinaitwa Arbitrage.hiyo line ni ya wanafunzi au na wewe mwanafunzi?
Unawapendelea sana kuwaita washenzi.. ni majambazi majiziHalotel ni washenzi wa tabia
Hawana tofauti na wezi kwa mtizamo wangu.. sijui TCRA na Polisi wanafanya nini kutokuwakamataHawa halotel kwakweli hawavumiliki
Mwenyewe nimeteseka mnoo na nimeshangazwa hamna huduma kwa wateja.. huu mtandao ni mbovu zaidi ya ubovu wenyewe.. Kwa ufupi hawa jamaa wanatakiwa wafutiwe hata leseni ya biasharaHuduma kwa wateja wao hawana,hata mie walivyoniletea uf"*rauni wao nikapiga weee 10 lakini si kupata ya kuongea na muhudumu kwa mteja. Nimelitupa li line lao. Wezi,sana halotel
Hiyo naona pia inanitokea kwenye salio langu maana baada ya kuiunga na kifurushi kilibaki kiasi fulani lakini kila siku nikiangalia salio naona ni tofauti na linapungua.. Haloteli ni majambazi majiziHawa halotel ni washenzi sana ujanjaujanja wanatufanyia ni mwingi, utakuta umeweka salio la 2000 unataka kifurishi unaambiwa salio halitoshi, ukiangalia salio unakuta 1900, 100 wanakwambia ni quiz
Hiyo ni kuichoma moto tu ndo dawa yao mpaka waache wizi majambazi yaleMimi niliamua kuwakaushia ,siku weka vocha kwa takribani kama mwaka mmoja hivi - sasa wamei deactivate ,ipo kwenye simu muda wote lkn siwez ifanyia kazi.
We ndo mke wa Halotel ? Maana unachonga sana huo mdomo.. mi naongea issue ya msingi inaniuma roho kupoteza pesa zangu halafu unakuja kuharishia uzi... jitafakari mkuu unakera sana sometimekwahyo wataka kupigana au?