Bullycheka
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 560
- 493
Halotel badilikeni kweli ACHENI KIBURI juzi niliweka bando la buku nikapata mb 200 ,baada ya km dakika chache sina mb. Iliniuma sn
ULIAMBIWAAA KIFURUSHII N CHAFAMILIA MPAKA UFEEAisee haya majambazi sijui ndo majizi HALOTEL ni kasheshe kwenye simu yangu.
Ipo hivi, wiki mbili zilizopita nilijiunga na kifurushi cha mwezi cha 10,000 nikapata Dakika 800 halotel, 80 mitandao yote, na MB 6500. Sasa cha kushangaza mimi huwa nawasiliana na mchumba wangu na yeye ana halotel tu.
Na ni mara chache sana huwa napiga simu mitandao yote na kwa kipindi cha wiki moja baada ya kujiunga na hiki kifurushi sikumbuki hata kutumia zaidi ya dakika 10 mitandao yote.
CHA KUSHANGAZA
Leo naangalia salio la kifurushi nakuta sina dakika halotel halotel, na sina dakika mitandao yote.. nikacheki mda nilioongea na mpenzi wangu hata jumla dakika miatano kwa wiki nzima hazijafika. Yaani nimechoka mpaka sasa najiuliza sipati majibu.
Nafikiria kuliamsha dude ila napiga huduma kwa wateja siwapati.. Nipo nje ya mji kwa sasa mpwawa nafikiria nikirudi nikaliamshe dude.
ILA KWA WANOTUMIA HUU MTANDAO WA MAJAMBAZI KUWENI MAKINI, HAYO MAJITU NI MAJAMBAZI YA KIMATAIFA YENYE MTANDAO WA SIMU
Ina maana mi sjui mwezi una siku ngapi mpaka nije kulalamika? Kuwa serious kidogo mkuu.. mi sio mtoto mdogo kuleta hizi tuhuma hapaULIAMBIWAAA KIFURUSHII N CHAFAMILIA MPAKA UFEE
ANGALIA TAR ULIOJIUNGA ONGEZA SIKU 30. IMEPITAA WELA KINGINE PUNGUZA MUNKARI
Sijui niende mtandao gani sasa... nimechukua line ya TTCL kwa hasira leo ikinishinda na yenyewe itabidi nihame nchi kabisa
Kwa hiyo mimi ni kichaa kusema kwamba ni Halotel? Ama wewe unajua matumizi ya simu yangu kuliko mimi?wew umetumwa na tigo kama sikosei itakuwa ni airtel inawezekana ni voda labda Zantel au TTCL
Mi nishaitupa kitambo now ni TTCL tuhalotel ni shida yaani mb zao zinakimbia zaidi ya upepo....mi natamani kutupa line.
haahaaaaSijui niende mtandao gani sasa... nimechukua line ya TTCL kwa hasira leo ikinishinda na yenyewe itabidi nihame nchi kabisa
hiyo line ni ya wanafunzi au na wewe mwanafunzi?Ndio nawatumia ila wanatia ukakasi maana kila siku wanapunguza kifurushi. Yani wameanzia GB 10 mpaka saizi GB6