Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,735
Aisee haya majambazi sijui ndo majizi HALOTEL ni kasheshe kwenye simu yangu.
Ipo hivi, wiki mbili zilizopita nilijiunga na kifurushi cha mwezi cha 10,000 nikapata Dakika 800 halotel, 80 mitandao yote, na MB 6500. Sasa cha kushangaza mimi huwa nawasiliana na mchumba wangu na yeye ana halotel tu.
Na ni mara chache sana huwa napiga simu mitandao yote na kwa kipindi cha wiki moja baada ya kujiunga na hiki kifurushi sikumbuki hata kutumia zaidi ya dakika 10 mitandao yote.
CHA KUSHANGAZA
Leo naangalia salio la kifurushi nakuta sina dakika halotel halotel, na sina dakika mitandao yote.. nikacheki mda nilioongea na mpenzi wangu hata jumla dakika miatano kwa wiki nzima hazijafika. Yaani nimechoka mpaka sasa najiuliza sipati majibu.
Nafikiria kuliamsha dude ila napiga huduma kwa wateja siwapati.. Nipo nje ya mji kwa sasa mpwawa nafikiria nikirudi nikaliamshe dude.
ILA KWA WANOTUMIA HUU MTANDAO WA MAJAMBAZI KUWENI MAKINI, HAYO MAJITU NI MAJAMBAZI YA KIMATAIFA YENYE MTANDAO WA SIMU