appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,932 Reaction score 3,249 Aug 24, 2026 #1 Congole kwenu mmebadilisha upepo wa awal wa kuzalishwa nyumban kwa sasa mnafosi muishi wote na wanaume japo weng bila ndoa kikubwa ukae na mumeo uzalie humo humo hii inaitwa sogea tuish Saf sanaa kuzalia nyumban ilikua inaumiza sana wazaz
Congole kwenu mmebadilisha upepo wa awal wa kuzalishwa nyumban kwa sasa mnafosi muishi wote na wanaume japo weng bila ndoa kikubwa ukae na mumeo uzalie humo humo hii inaitwa sogea tuish Saf sanaa kuzalia nyumban ilikua inaumiza sana wazaz
Sister Abigail JF-Expert Member Joined Sep 2, 2020 Posts 4,297 Reaction score 13,420 Aug 24, 2026 #2 Aisee
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,298 Reaction score 129,743 Aug 24, 2026 #3 Inaumiza sana wazazi, kitu mbaya sana kuletewa wajukuu bila mipango!!
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,932 Reaction score 3,249 Aug 24, 2026 Thread starter #4 ERoni said: Inaumiza sana wazazi, kitu mbaya sana kuletewa wajukuu bila mipango!! Click to expand... We acha ni kama nuks na baraka at once
ERoni said: Inaumiza sana wazazi, kitu mbaya sana kuletewa wajukuu bila mipango!! Click to expand... We acha ni kama nuks na baraka at once