Karibu Lizy! Hebu weka wazi unajiskia unahitaji ndoa !
nilikumicje karibu sana ngoja nimwite Asprin kwa ukaguzi upya
Asante dearest. . .
Aje mara ngapi? Alikuwa anashinda huko kipindi sipo 😉
Ahhhh. . .Sio wewe uloanza kwenye mgao wa talaka?
Love you too!
Mie zaidi mkwe Blaki Womani ila huyo babu Asprin achana nae asije zua balaa maana kukaguliwa upya si mchezo.
Love you too!
kasema miss you not luv u
We nae ya eliki na lizi hayakuhu,kha! Halafu mke wangu wewe.........
Heheh hilo palizi kweli lilikuwa la muda mrefu...
Ukiona palizi la muda mrefu ujue palizi la ______________ (jaza nafasi iliyoachwa wazi)
Ukiona palizi la muda mrefu ujue palizi la Erickb52 (jaza nafasi iliyoachwa wazi)
Aiseee nimewamiss jamani.
Kipenzi changu Konnie Kongosho na wifi yangu King'asti embu nipeni michongo, tajiri la kihaya Bishanga bado vipesa vipo vipo au ashafilisiwa na kina The secretary?
Nimemiss mutu mingi hata sijui nianzie wapi kuwataja. Kwanza naogopa wengine ntasahau kuwataja alafu watadhani siwapendi kumbe nilikuwa nawaota daily sooooo. . .bora nisitaje. Ila naona ndoa nyingi hata sielewi elewi. . .yani sijui na yule wangu ndo nshapokonywa kwa uzembe!!!!?
Newayyyyyy...nilikuwa napalilia palilia mazao mahali bana but i'm baaaaaaack. Wale mlokuwa mnanikumbuka kwa vitendo ndio nimeitikia wito hivyo, asanteni kwa kunikumbuka.
Love y'all sana.
Love you too!