Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake.............
Atteeeeeeeeeeention wote simameni kiumbe mwenye upekee jf kaingia..........msiniulize kwa nini.......ila jamani sisi wengine tunamgwaya.
Breaking news:
Nyani Ngabu ametumbukia chooni baada ya kufakamia kimpumu,kikosi cha uokoaji kinahangaika kumchoropoa.
Anapomfungulia Zahra White duka husemi. Na alipofunga ndoa na Mrs Bishanga husemi. lwako. The secretary hivi huyu mumeo ulipewa na ukoo au ulimpenda kwa moyo wako. hasara.
nililishwa yamini kwa nguvu
Unanigwaya na mi pia nakugwaya...yani bila bila. Nilikumiss sana lakini aisee tajiri la kihaya.
Blaki Womani unapenda ukaguzi eh?nilikumicje karibu sana ngoja nimwite Asprin kwa ukaguzi upya
Blaki Womani unapenda ukaguzi eh?
Fisadi gillete umeamka?
niko bize ndugu kuna mtu namfukuzia lakini haelewi somo sasa sijui niongee kitaliano.
Blaki Womani unapenda ukaguzi eh?