Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kabisa kwa wanambozi,chama dume chama cha mapinduzi kwa mkutano mkubwa na wakihistoria nilioufanya jana nikiwa nimeongozana na Jemedali wa kisiasa comrade Mwigulu Nchemba,Juliana Shonza na viongozi wengine.
Wanambozi mmewajibu vijana wa CHADEMA na viongozi wao kuwa Mbozi ni ardhi ya watu waelewa na sio kitoweo cha wajinga.
Nimefanya mkutano kuwajibu wale wote wanaokesha mitandanoni kujifurahisha eti Mbozi hakuna CCM,eti Mbozi kuna CHADEMA. Mimi ndio nimeipeleka CHADEMA Mbozi,na kwa mikono yangu naiua CHADEMA Mbozi
"If u can just Join the game and feel the taste of Mwampamba"
Tumeshawaonesha CHADEMA kwamba CCM ni zaidi yao,hatuwezi kupambana na sisimizi kwenye uga wa siasa.
Juliana Shonza na mimi tutaitumikia CCM kwa nguvu zetu zote na kwaakili yetu yote tena kwa kujitolea.
Kilichonishangaza ni kuona sioni hata kija wa CHADEMA aliyesogelea,Niliishia kubebwa na kupandishwa jukwaani.siasa hatufanyi mitandaoni vijana wa chadema,Kukesha kwenye keyboard sio Field.
CHINI
Baba mzazi mzee Mwampamba akirudisha takataka za chadema mbele ya Jemedari Mwigulu Nchemba nyumbani mlowo.
Mzee Allam Mwampamba akiwa ndiye muasisi wa vyama vingi wilayani mbozi ameamua kauchana na siasa za majungu,kinafiki za chadema na kujiunga na CCM.Amesema ni bora viya ya kupambana na mafisadi kuliko vita ya ukabila,umwagaji damu na ukdanda ndani ya hivi vyama vya upinzani(CDM0
- Juliana shonza akiwa kwao mlowo mbozi mbeya.Hapa anawaelezaa wanambozi namna CHADEMA chini ya Dr.slaa amejikopesha Million 14o za ruzuku ya chama kwa maslahi yake.Je tumpe nchi fisadi kama huyu?
Ulivyoshushwa Jukwaani kama mwizi kule Mbulu mbona hukuleta JF.