Nimewachwa Baada Ya Kuzamia Chumvini.

Nimewachwa Baada Ya Kuzamia Chumvini.

Kuna post yake moja inasema anataka atoke kwenye Jamii Forum auze sura.
Msamehe bure labda ndio lengo la posts zake.
[emoji188] [emoji188] [emoji188]
feitty acha kudidimiza msumari huo.
 
😀😀 Inabidi nikiandika stori niweke kila kitu kiwe wazi hapa naona. alijikunja miguu yake mkao wa Nguva akiwa na pillow kifuani na mwengine mapajani. Ndio kumuona analia nikampa na shuka kujifunika kwani kulikuna na kibaridi cha a/c kidogo.
natamani nikuchape basi tu uko mbali. bawasili gani ndefu hivyo tena ya week moja? wacha uongo, sema ukweli ulichokiona na si bawasili, au ulikutana na "pooling"??? wacha ushamba
 
natamani nikuchape basi tu uko mbali. bawasili gani ndefu hivyo tena ya week moja? wacha uongo, sema ukweli ulichokiona na si bawasili, au ulikutana na "pooling"??? wacha ushamba
Sikuandika nimeona hata sehemu moja, nimesema nimehisi kwenye kidevu changu na yeye ndio alie niambia kuwa anayo Bawasili. Unataka kunichapa kama mwalimu wa shule😛😉🙂
 
Kuna post yake moja inasema anataka atoke kwenye Jamii Forum auze sura.
Msamehe bure labda ndio lengo la posts zake.
[emoji188] [emoji188] [emoji188]
Dogo anavuta yale majani ya kule kwetu Tarime. Any way ngoja tumsamehe bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom