Nimewachwa Baada Ya Kuzamia Chumvini.

Nimewachwa Baada Ya Kuzamia Chumvini.

Wiki iliopita nilikutana na Ex-wangu anatokea nchi za wazungu huko. Alinitumia text kwenye Whatsapp kuwa ataingia nchini mwezi huu. Sasa kama wiki kabla hajafika tamaa za fisi ziliniingia juu ya huyu ex-wangu. Nikaanza kurusha mishipi midogo midogo mpaka akaingia bwaa. Mkuu bila hiana akaniuliza aniletee zawadi gani. Nikamwambia unajua ninachokipenda(Cologne/perfume), Nilikwenda airport na kukutana na wazazi wake na wadogo zake. Tukasalimia na kuniuliza kama nipo happy kwa ex-wangu kuja Tz. Kwa bahati akatokea mtoto wao na kusalimiana nae na mimi nilimpa hug na kiss cha shavuni, Kwakweli hapa fisi nilitokwa na mate mengi kwa tabasamu lake na macho yake alivyoniangalia machoni. Tokea afike stori tuu asubuhi,jioni usiku kufika jumatano tukapanga mtoko weekend. Jumamosi jioni nikaenda kumchukua kwao na kuanza kuisherehekea siku yetu, Baadae kufika kama saba 7 usiku tukaelekea nyumbani kwangu kufika Daraja la Kigamboni. Mabusu ya kimahaba ya hapa na pale yalianza ilinibidi niongeze mwendo kidogo nifike nyumbani na kuanza kamchezo, Tukafika na kuanza kukavua nguo zake akabakiwa na pichu tu. Akanambia anataka kuniambia kitu nikamwambia twende tukaoge halafu ndio utaniambia unalotaka kusema. Huko chooni tuliangusha mchezo wa kihindi si mdogo utasema tupo Bollywood, Nikamwambia niambie unachotaka kusema huku nikizitafuna ndimi zake na pumzi zake zikipanda na kushuka. Kambla hajasema kitu nikambeba na kumpeleka chumbani na kumtupa juu ya kitanda, Huyu mwenzangu hapendi kufanya sex kwenye muangaza nikazima taa zote na kuwasha mishumaa miwili na kupata mwanga ndogo. Nikiwa nashuka hatua baada ya hatua kutokea mdomoni,kifuani na kwenye kitovu na kushuka kidogo kwenye papuchi, na kuikiss mara akaleta mkono na kunambi subiri. Sijui kama masikio yangu yalikuwa magumu kusikia au ndio nilitaka kumpagawisha tu huyu mtoto wa watu. Nikapeleka ulimi wangu kwenye papuchi na kuanza kuila kama pipi ya kifua, Hafla naona kitu kinanigusa kwenye kidevu changu kutokea njia yake ile ya makalio.😱😵😡
Niliruka kama nimepikwa mkwaju na mwalimu wa shule nilikimbilia kuwasha taa na kumuuliza kama alikuwa anataka kutumia choo kwanini hakuniambia??😡 Huku akiwa amejikunja na kuanza kulia nilikwenda kumbembeleza ndio akaniambia nilitaka kukuambia kama nina BAWASIRI(HEMORRHOIDS)lakini hukunipa muda wa kukueleza. Hamu iliniruka na kubakia kumbembeleza mwenzangu, kufika asubuhi hakutaka hata kula na housegirls washamtengenezea breakfast tayari. Ilinibidi nimrejeshe kwao alinipa kiss cha shavu na kuondoka, alinitumia text kwenye whatsapp kuwa kapata hio ishu wiki moja kabla ya kuja Tz, sasa tokea hapo hataki kupokea simu zangu wala hajibu sms zangu na nimeshaomba msamaha. Sasa jamani nifanye nini na mimi huyu mtoto nimemzimia sana.
Yaani wewe binti hovyo kabisa.
Post zako ohoo....kanijambia usoni.., mwanaume wa dar , nimemfumania demu wangu na ticha, mama yake mchepuko wangu kanifumania....
Wiki ijayo utatoka na mpya....uume wangu unayeyuka...nk!
Any way nimekupa like
 
🙂🙂🙂 sina la kusema mkuu
 
Mtumie sms mwambie baby nakupenda sana naomba nisamehe kwa kilichotokea, usijisikie vibaya na hali uliyokua nayo nakupenda na ndio mana nataka nikusaidie upone..nimekutafutia dawa nimeambiwa inaponesha kabisa naomba tuonane niweze kukuelekeza vizuri my love !!

We jamaa na utafute kweli hio dawa...dawa zipo na zinaponesha kabisa ni wewe kuonesha nia ya kumtafutia na kumsaidia kama unampenda.
 
Huyo dem wako kiboko, anajikunja hadi huoni?
Huyo dem ni jamii ya konokono kama sio Kobe
😀😀 Inabidi nikiandika stori niweke kila kitu kiwe wazi hapa naona. alijikunja miguu yake mkao wa Nguva akiwa na pillow kifuani na mwengine mapajani. Ndio kumuona analia nikampa na shuka kujifunika kwani kulikuna na kibaridi cha a/c kidogo.
 
Mtumie sms mwambie baby nakupenda sana naomba nisamehe kwa kilichotokea, usijisikie vibaya na hali uliyokua nayo nakupenda na ndio mana nataka nikusaidie upone..nimekutafutia dawa nimeambiwa inaponesha kabisa naomba tuonane niweze kukuelekeza vizuri my love !!

We jamaa na utafute kweli hio dawa...dawa zipo na zinaponesha kabisa ni wewe kuonesha nia ya kumtafutia na kumsaidia kama unampenda.
asante kwa ushauri safi sana mkuu.
 
Yaani wewe binti hovyo kabisa.
Post zako ohoo....kanijambia usoni.., mwanaume wa dar , nimemfumania demu wangu na ticha, mama yake mchepuko wangu kanifumania....
Wiki ijayo utatoka na mpya....uume wangu unayeyuka...nk!
Any way nimekupa like
Kuna post yake moja inasema anataka atoke kwenye Jamii Forum auze sura.
Msamehe bure labda ndio lengo la posts zake.
[emoji188] [emoji188] [emoji188]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom