Nimevutiwa sana na JF.

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,417
7,732
Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.
 
karibu sana mkuu lakini salimia kwanza wenyeji ndo utamaduni wetu sisi wadanganyika..
 
Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.


Karibu sana Mkuu, hapa jamvini pako poa sana ukiondoa mambo madogo madogo ya hapa na pale. Karibu ujisikie nyumbani kabisa, ila uangalie usiwe addicted tu na hii kitu inaitwa JF
 
Karib sana. Naitwa klorokwini, na huyo hapo juu ndio gozo, akikasirika yeye na JF server inagoma pia
Ungempa hii warning hapa chini!
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Nashkuruni kwa kunikarbisha! Wakubwa shikamoon, vijana wenzangu mambo vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…