Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf
kaaa kimya huko nikome.
Oooops!! Hata pole humpi??Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf
Pole sana dearest
hilo ni moja ya mapito katika ulimwengu.......... cha muhimu mkabidhi Mungu maisha yako nae atakupa lililo jema........... usikubali kuwa na mtu mwengine kwa sasa maana wapo watakaokuja kwa kukuonea huruma kumbe nao ni nyoka............ tafakari/pangilia maisha usiwe na haraka haraka haina baraka,
Oooops!! Hata pole humpi??
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Ahsante Bishanga kwa comment zako atuulize ARUSHA sisi tumeanzisha umoja wa JF members Arusha, tuna malengo makubwa ya kusaidiana!!!!!!!!! Naona bado ni kinda akikua atajua maana ya JF!!!!!!!!!! Huyo binti kaomba ushauri, wala si fedha zake ushauri wa bureee, kama hawezi anyamaze!!!!!!!!!![/COLOR] Mkuu kwenye red hapo umechemsha big time,watu humu ndani tupo ambao tunajuana kwa majina,sura,mpaka mitaa tunayoishi na tumekutana humu JF.
Ushauri wa bure: Jitahidi kujali matatizo ya wenzio kama wao watakavyojali ya kwako,muda si muda utajenga urafiki wa karibu na watu wa MMU na si ajabu siku moja wakaja kukutoa kwenye lindi la matatizo ambalo hata nduguzo hawana uwezo nalo.Usidharau MMU/JF kamwe,tulia muda si muda utaona faida yake,kuchimba mkwara hakutakusaidia kamwe,na si katika MMU tu lakini hata katika maisha yako nje ya JF.
Pole Dinnah kwa masahibu kajisemea NN miafrika ndivyo ilivyo, eti hakuna connection kwani alivokwambia muanze uhusiano hakujua hilo? Keshakula tundi ndio anajifanya hakuna connection kwani umekuwa umeme wewe, jipe moyo jipange uanze upya wala hujachelewa Mungu yupo atakutafutia wako mwingine wa milele, mtu haolewi na mume wa mtu huyo alipangiwa mwingine wako yuko njianinimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Sasa wewe akiwa na huruma inahusu nini, au ndio wewe uliyekosa connectionKumbe ndo maana unajidai kumtetea?
una taka uchakachue pia?
duh,watu kwa ku-take advantage hamjambo,basi unajidai una hurumaaaaaaaa
Hata kama wewe ni Muislam, nakushauri msikilize huyu jamaa, japo tega tu sikio usikilize, utapata faraja. Click the following link [video]http://www.joelosteen.com/Broadcast/VideoStreaming/Pages/VideoStreaming.aspx[/video]nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni