Nimevunjika Moyo

nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

Dinnah
hata sijui nisemeje.......... Hivi ulishajikuta siku unaamka na furaha saaana kwa kuwa tu unahisi una amani ya moyo? halafu ghafla unapata habari ya kusikitisha?? ndicho kilichonitokea leo. Pole dada ila tambua kama alivyosema mayassa kila jaribu hutokea kwa sababu na every disappointment is a blessing.............. nakuul;iza tu swali dogo but jibu lake litaniweka wkenye nafasi nzuri ya kushare niliyo nayo.

.......Huyu bwana kipofu asoona connection (whatever that means to him) kati yenu...........ni mchumba, boyfriend au Mume??
Tafadhali turuhusu tushee machungu yako.
 
Shukuru kakuambia sasa hivi, je angekuambia baada ya miaka, wakati mna familia. Hapo usikate tamaa sababu nauhakika kuna jamaa wengine walikuwa wanakutamani lakini sababu ya huyo jamaa walishindwa kufanya move. Kila jambo lina heri yake. Kakuepushia sharii huyo
Yah nashukuru, ni afadhali sana
 
Usijali sana
wGyT35WXVaJigAAAABJRU5ErkJggg==
; yote maisha!Unampata yule mwenye connection na wewe!
Vuta subira tu.
 
Ni maneno tu Speake ya kujustfy maumivu ninayosikia hata kwenye khanga yapo, ina maana hata huruma huna?

Naitwa Speaker,...
Huruma ya nini na umeambiwa ukweli?
Tena ninge mpata huyo jamaa anipe huo ujasiri
maana kuna mtu hapa kani ng'ang'ania kama nini vile,...
sijui ntaweza vipi kumwambia "I now don't feel anything for you"!!!!
 
Dinnah
hata sijui nisemeje.......... Hivi ulishajikuta siku unaamka na furaha saaana kwa kuwa tu unahisi una amani ya moyo? halafu ghafla unapata habari ya kusikitisha?? ndicho kilichonitokea leo. Pole dada ila tambua kama alivyosema mayassa kila jaribu hutokea kwa sababu na every disappointment is a blessing.............. nakuul;iza tu swali dogo but jibu lake litaniweka wkenye nafasi nzuri ya kushare niliyo nayo.

.......Huyu bwana kipofu asoona connection (whatever that means to him) kati yenu...........ni mchumba, boyfriend au Mume??
Tafadhali turuhusu tushee machungu yako.
Ni rafiki as boyfriend..... niko mbali nae ....i mean niko mkoani huku niliko hakuna cafe nimetoka mwendo wa mbali ili japo nikasome emails nimekutana na kibomu hicho duuuuuuuu nusu nianguke but thanx God mkaka wa hapa kani save, bado niko hapahapa kila saa nafungua nasooooooma narudi humu
 
pole sana,
Ila jipe moyo
mshukuru Mungu kwa kila jambo!
Amini Mungu anakutakia mema katika hilo!
 
Ni rafiki as boyfriend..... niko mbali nae ....i mean niko mkoani huku niliko hakuna cafe nimetoka mwendo wa mbali ili japo nikasome emails nimekutana na kibomu hicho duuuuuuuu nusu nianguke but thanx God mkaka wa hapa kani save, bado niko hapahapa kila saa nafungua nasooooooma narudi humu

Mh,kumbe uko mwanza,...
basi nimepata huruma ghafla isije kua ni nanii nae mfaham
pole sana bidada,nikija mwanza ntakupa kampani wala usiumie
 
Ndio bwana niko mwanza vijijini nalima viazi karibu
 
Ni rafiki as boyfriend..... niko mbali nae ....i mean niko mkoani huku niliko hakuna cafe nimetoka mwendo wa mbali ili japo nikasome emails nimekutana na kibomu hicho duuuuuuuu nusu nianguke but thanx God mkaka wa hapa kani save, bado niko hapahapa kila saa nafungua nasooooooma narudi humu

Kwa signature yako wewe unamwamini MUNGU na umekuwa ukiomba akuonyeshe yaliyo kweli. Supposed hii ni njia ambayo MUNGU ameamua kukufunulia kuwa huyu hakuwa pangio lako?? ungejisikiaje kama maneno haya angekuja kuyasema na KUYATEKELEZA mkiwa tayari mmeshahalalisha mahusiano yenu na kila mtu anajua? How would you take it kuwa ulikuwa Mrs wa Fulani halafu huyo Fulani kaingiwa na wazimu (tena usopona- yaani kaamua na ndio kaamua) kuwa hamna future so mseparate??
 
Hutafuti mtu bali unataka ku-entertain watu tu;
COZ UNGEKUWA UNATAKA KWELI UNGEWEKA VIGEZO UVITAKAVYO NA ULIVYONAVYO.
Nafikiri umesoma vibaya embu soma upya ili uchangie unazidi kunitia majonzi
 
Kwa signature yako wewe unamwamini MUNGU na umekuwa ukiomba akuonyeshe yaliyo kweli. Supposed hii ni njia ambayo MUNGU ameamua kukufunulia kuwa huyu hakuwa pangio lako?? ungejisikiaje kama maneno haya angekuja kuyasema na KUYATEKELEZA mkiwa tayari mmeshahalalisha mahusiano yenu na kila mtu anajua? How would you take it kuwa ulikuwa Mrs wa Fulani halafu huyo Fulani kaingiwa na wazimu (tena usopona- yaani kaamua na ndio kaamua) kuwa hamna future so mseparate??
Namshukuru sana Mungu, MwanajamiiOne ila tu sie kama binadamu tunajkuta tunasikitika ila ukikaa mwenyewe ukatafakari unajipa majibu mwenyewe
 
acha kuparamia vitu ambavyo siyo size yako,jichunguze kwanza kabla yakuchukua uamuzi, huwa tunamatatizo yakupenda mtu kisa mzuri kumbe hamlingani anapotokea mwenye ubavu unanyang'anywa unakimbilia jf kuomba ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom