Nimevunja kioo cha kishikwambi

1.Students marks records nk.
2.Simution of abstract ideas.
3.Software approach based teaching.
4.Best library access.
5.Lessons records for future use.
Matanzania badala ya kupigania vishikwambi viongezwe ili wanafunzi nao wawe navyo yanabeza tu.
Sasa unabaki kujiuliza bora serilikali isingegawa au ilivyogawa.
Utakuta limtu(kwa lugha ya Sabaya) halijui hata kutumia internet, office programs nk ila linapayuka humu.
Utakuta hata kwake hsalina hata used computer kwa matumizi ya watoto wake ila linapayuka.
Utakuta jitu linabeza halijawahi ku donate hata penseli. Haya majitu ya hovyo tuyapuuze kabisa.
 
Yani sura zingekuwa zinaonekana humu wengi mngeumbuliwa na walimu maana wanajua jinsi mlivokuwa vilaza mashuleni. Na matokeo yenu bado wanayo, kama unabisha weka sura yako tujue akili yako.
 
Yani sura zingekuwa zinaonekana humu wengi mngeumbuliwa na walimu maana wanajua jinsi mlivokuwa vilaza mashuleni. Na matokeo yenu bado wanayo, kama unabisha weka sura yako tujue akili yako.
Acha kuishi kwa historia, matokeo ya shule ni kitu kilichopita na kwasasa watu wanaishi tofauti na matokeo yao.
 
Bila shaka wewe ni mwalimu maana umeongea kwa hisia kali sana,cool down bro
 
Ndugu Mwalimu ulipataga solution ya Kishikwambi chako?

Nina sista mwalimu mkoani huko nayeye kavunja kioo cha kishikwambi
 
Kwani kikivunjika ndo nini mbna mi kilivunjika mapema sana kipo tu ndani
 
Upo tanga sehemu gani kama ni korogwe nenda Kwa huyu jamaa anafix ndan ya dk 10-15 0717 029 952
 
Fainali uzeeni
Tutapita na kiinua mgongo chako
"......endeleeni kuwapa watoto wenu wachezee game"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…