Nimevumilia nimeshindwa

hahahaa
karibu sana jisikie nyumbani,mapambano yaendelee dhidi ya adui wa nne wa taifa "ufisadi"
 
Mzee mwenzangu naomba hatimiliki niifanye hiyo red iwe signature yangu.

Endelea tu mzee...Tutamalizana kiutu uzima kama BAE na SFO hata kama wengine wanaweza kudhani kuna utata....Mimi na wewe tu....no probleme!
 
Jamani mbona mnanikaribisha kwa kunichimba? Asanteni kwa mlionikaribisha vzr. Aspirin hebu kuwa great thinker umezidi masihara. Jinsia yangu imekuhusu nini?
 
Jamani mbona mnanikaribisha kwa kunichimba? Asanteni kwa mlionikaribisha vzr. Aspirin hebu kuwa great thinker umezidi masihara. Jinsia yangu imekuhusu nini?

Mhhh, mbona na wewe unazidisha mikwara???

Kwani hilo swali ni dola kiasi gani (is that a big question and may be more than 1000USD???

Jibu basi mambo yaishe....Karibu mwaya lakini....!!
 
Mhhh, mbona na wewe unazidisha mikwara???

Kwani hilo swali ni dola kiasi gani (is that a big question and may be more than 1000USD???

Jibu basi mambo yaishe....Karibu mwaya lakini....!!
Mhh nyie watu jamani. Mna lenu jambo.
 
Mhh nyie watu jamani. Mna lenu jambo.

Hivi wewe Mazandu una nin? Kwani ungependa kuishi maisha ya uncertainity?

Ngoja nikusaidie kidogo...Mimi ni bonge la "HE" na mwanzangu automatically ni "mrembo mmoja tu" anayenifanya nione maana ya maisha i.e. ni "SHE".

Hebu basi jinu na wewe...uko upande gani kati huu wa kwangu au wa huyo mrembo?
 
Jamani mbona mnanikaribisha kwa kunichimba? Asanteni kwa mlionikaribisha vzr. Aspirin hebu kuwa great thinker umezidi masihara. Jinsia yangu imekuhusu nini?

Ndugu mazandu.....

Mimi ni HE....wewe?
Nafanya lojistiks za kukukaribisha tena pare pare pa ukwei!
 
mazandu............................................................................................................................................karibu,nategemea utasema asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom