1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
Habari za usiku humu jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!
Ze keke,
Ukweli ni kwamba Mwanamke yeyote ambaye utaamua kuwa nae lazima tuu kwa kiasi fulani huko maishani atakuumiza hivyo usiogope kuumia kwa kuwa kuumia ni lazima. unachopaswa kufanya ni kutafuta mwanamke ambaye anastahili kwa wewe kuumia juu yake.
Ndugu aijalishi una Imani gani,Muombe Mungu sana juu ya hilo kwa ajili ya Mke mwema na mcha Mungu.Na hakika Mungu atakupa wa kufanana nawe uje utupe ushuhuda ukimpata.Habari za usiku humu
jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza
maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa
kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka
kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!
Ndugu aijalishi una Imani gani,Muombe Mungu sana juu ya hilo kwa ajili ya Mke mwema na mcha Mungu.Na hakika Mungu atakupa wa kufanana nawe uje utupe ushuhuda ukimpata.
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
Mkuu ushauri mzuri kama huu, nashindwa nikulipe nini aisee!
Hapo kwenye sura, nadhani kidogo ntaangalia, kwani uzuri wa mwanamke ni pamoja na muonekano wake!
hakika.,
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
Mkuu uko sawa, kwa wakristo maandiko yanasema Mume ampende sana mke wake kama yeye mwenyewe wakati huohuo mke anatakiwa kumtii sana mume wake. Mwanaume hajaambiwa amtii mke wake, maybe wanaume wanatumia that loophole...Umenena mambo ya busara ila huwa najiuliza hivi sie wanaume huwa hatuna matatizo? inaelekea katika suala la ndoa wanaume ni pessimist wakati wanawake wao ni optimist maana mke mwema huwa inajadiliwa sana kuliko mume mema kiasi inajenga picha wanawake wao wapo tayari kwa lolote litakalotokea kwenye ndoa (nawaza tu kwa maandishi mkuu)
Okay mkuuMkuu uko sawa, kwa wakristo maandiko yanasema Mume ampende sana mke wake kama yeye mwenyewe wakati huohuo mke anatakiwa kumtii sana mume wake. Mwanaume hajaambiwa amtii mke wake, maybe wanaume wanatumia that loophole...
Ushauri wa mimitungi umetulia, tatizo wengi hukukuzia kwanza mrembo kwa tamaa za kimwili then ndo uchunguzi unafanyika kujua kama anafaa kuwa mke au vipi. (ingekuwa wanakwenda kinyume chache ingekuwa poa zaidi kwani once unapokuwa karibu nae unakuwa una test vile viashiria vya mwanzo kabisa ambavyo vilikufanya umtokeefuata ushauri wa huyu
sijakuelewa,ila napingana na hoja yako,hatuingii kwenye uhusiano ili tuumizane,unaleta dhana mpya,labda uje na hoja kuntu
Awe mjasiriamali ulimwengu wa sasa kila mtu awe matafutaji au siyo miss chagga.Aoe ambaye ni majaisiriamali asitegemee kupokea tu.fuata ushauri wa huyu