spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
fanya usafi watapoteaKwa muda wa wiki mbili sasa kila ikifika saa sita usiku kuna mende wadogo wanatokea jikoni na sebuleni lakini baada ya saa 12 asubuhi wanapotea. Nimeweka dawa ya chaki na nimejitahidi kuwapulizia dawa ya mende usiku lakini hawapungui. Naomba msaada members ni dawa gani inawamaliza hawa wadudu.
Hahaa. I wanted to write the same words.wakamue maziwa
mkuu hiyo avatar ni shida!wafuge hao ukamue maziwa maana tushaambiwa maziwa yake yana protein zaidi ya yale ya ng'ombe
Nilistuka kwanza uliposema umevamiwaKwa muda wa wiki mbili sasa kila ikifika saa sita usiku kuna mende wadogo wanatokea jikoni na sebuleni lakini baada ya saa 12 asubuhi wanapotea. Nimeweka dawa ya chaki na nimejitahidi kuwapulizia dawa ya mende usiku lakini hawapungui. Naomba msaada members ni dawa gani inawamaliza hawa wadudu.
Nasikia Wanasayansi wamesema maziwa ya mende ni bora kuliko ya wanyama wengine. Yana vitamin +++.wakamue maziwa
Kwa muda wa wiki mbili sasa kila ikifika saa sita usiku kuna mende wadogo wanatokea jikoni na sebuleni lakini baada ya saa 12 asubuhi wanapotea. Nimeweka dawa ya chaki na nimejitahidi kuwapulizia dawa ya mende usiku lakini hawapungui. Naomba msaada members ni dawa gani inawamaliza hawa wadudu.