Una moyo watofauti.....Hahaa pole sana mkuuu case yako inafanana na yangu...maelezo na vituko vya huyo bibie ndo nnavyofanyiwa mim na huyu mtoto wa st joseph...anarafiki yake huyo ni mwalimu wa hapo chuoni kwao wanaongea nae sana hata nikiwa nae geto bado anachat nae lakin mwanzo nlimuuliza akanambia huyo jamaa yupo mwaka watatu na cku nyingine akajichanganya akasema mwalimu wao wa darasa nikamweleza ukweli kwamba cpendezwi na tabia yake akasema jamaa anajua kuwa yupo na mim bt bado wanachat nae na kuna wengine wanatuma sms za mapenzi nazisoma lakin nakausha kidume kuepusha vidonda vya tumbo.....so mkuu hawa watoto wakike ndo walivyo kama binti unampenda muweke tu ndani mambo mengine ni kawaida kuyafanya
Asante mkuu kwa ushauri!unayosema ni kweli jamaa ni group mate wapo discussion group mojaKm bd unampenda mpe mda mara nyng mabint wa chuo wanapenda kampan za chuo pia ile kusoma pa1,discussion, nin kwahyo wanajikuta wamechaguana wawilwawil for a campan na hostel kustay pa1 mpaka kulana mzgo huko bcz all the time wapo pa1 thngs inakuja kuwa different pale wanapomaliza na insue za kutafuta kaz ndio akil inamkaa sawa na kurud kawaida always mapenz ya chuo hayadumu sana ni wachache wanamaintain so mpe mda na usimgande sana kumfatilia ww mchek siku mojamoja na endelea kula mzgo kwa wakat wako na acha vijana wa chuo nao wale kwa wakat wao bcz nao bd hawako serious sana kwenye mapenz wakishakula tu bas wanachek another one kwahyo akishapigwa chin lazin akuchek ww fanya kupunguza speed atakuchekbtu
Mkuu binti aliamua mwenyewe kubadilika na mpaka akawa analalamika sijamtambulisha kwetu ikabidi nifanye hivoTazama ni kwa kipindi gani amekuficha hali ya kuwa na wewe uko katika mazingira ya chuo?
Je kama aliweza kufanya hivyo na wewe ukiwepo atashindwa usipokuwepo? Kwanini hakufiche ostadh?
Umepata binti mwelrevu sna ila kuna kitu umeprove kwke kuwa hakipokam alivyofikiria yeye ndio maana kaanza kucheat pamoja na maamuzi magumu aliyoyachukua katika maisha yake pamoja na kuhama katika imani yake.
Huenda huyo binti anasikitika kwa kuwa hana pa kuweka sura yake mbele ya ndugu zake lakini moyoni huyo binti hayuko nawe.Ebu jiulize darasa lake lote linafahamu kuwa wewe ni rafiki na huyo jamaa ndio mmiliki,nani alilithibitisha hilo kama sio yeye? Imekuaje room mates kujua kuwa wewe si mtu wake ila jamaa ndio mtu wake?
Kama ulishawahi kusikia demu wa chuo huwa ana mwanaume kwa ajili
1.outing tu
2.solving
3.kutatua changamoto za kifedha
4.kuuza nae sura tu maeneo ya chuo
5.Kufanya assignment asipokuwepo class
6.husband material yake amabyo hiyo ni mtu wa kitambo kidogo(huyu anaitwa wa shida na raha naye anadanganywa kama wewe)
Chagua namba yako hapo juu kisha jiulize una usalama? chuo haupo kwa sasa kwa maana hiyo basi ni vigumu wewe kufanya assignment na solving pamoja naye,hizi zimekula kwako pamoja na kuuza sura maeneo ya chuo,Kwakuwa uko mbali kwenda naye outing kila weekend ni vigumu nayo imekula kwako.Zimebaki mbili mkuu hauko salama.
MAPENZI HAYASHAURIKI MOJA KWA MOJA KWAMBA UMUACHE AU UENDELEE WEWE NDIYE UJUAYE UTAMU NA RADHA YA HUYO BINTI.AKILI MUKICHWA MKUU.
Asante dada angu kwa ushauriMabinti wa chuo wengi ni wa kukusogezea tu semister, bado kichwa kina mambo mengi anawaza kubandika kucha, kubandika wigi, kudanga, kula good times za kutosha katoka home amekuja chuo anaishi free, uhuru wa mende.... Kumuoa unamlazimisha yeye hajafanya maamuzi!!!
Kazi kwako sasa: 1.kumvumilia ukomae nae, au umuache japo akishamegwa megwa afu haoni dalili ya kuambiwa nakuhitaji lazma atajirudisha kwako. 2 kutafuta ambae tayari nae ana mawazo ya kuolewa
Pole