professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
wewe sindo huyo haya land..?😅Unajianzishia nyuzi sio? 😀
Mkuu, pole sana. Lakini pengine huwa Iko hivi:-Ukipitia threads mbalimbali hapa JF, unaweza dhani WanaJF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora.
Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na kuniita chawa, jambo la ajabu sana. Kwanini mnakuwa na wivu, chuki na ubinafsi kiasi hicho?
Niliona uzi wako, usijali kabisa kwenye jukwaa kubwa kama hili tegemea kila aina ya comments. PoleUkipitia threads mbalimbali hapa JF, unaweza dhani WanaJF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora.
Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na kuniita chawa, jambo la ajabu sana. Kwanini mnakuwa na wivu, chuki na ubinafsi kiasi hicho?
Kimemuuma kama alivyosema, na hiyo ni njia mojawapo ya kuondoa msongo wa mawazo ili aweze walau kuwa na siku njema leo.Kijana wa miaka 23 asubuhi unaamka unawaza comments za members wa humu?
Yeye aendelee kupaka rangi upepo🤓Intelligent businessman kijana analalamika huku
Tuzoee. Tukijaga Jf tunaranduka hatariiiJambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na kuniita chawa, jambo la ajabu sana. Kwanini mnakuwa na wivu, chuki na ubinafsi kiasi hicho?
Etiee!wewe sindo huyo haya land..?😅
Itakuwa mmemuattack sanaKijana wa miaka 23 asubuhi unaamka unawaza comments za members wa humu?