Nimeumia sana

Mashabiki wa lissu watakamatwa kwa mtego huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabsa ndomana nkaja kutolea machungu yangu huku maana me mwenyewe ckuamini nilicho kiona nkajua anatania ohoooo naona anavuta boksa suruali ikwapi shati lile pale viatu vile mtu huyooo kaaga kaondoka and am like WTF.....

am better here
Aiseeh si angepiga alafu ukanywa kidonge,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema anaogopa mimba ety kisa nmetoka period Jana hahah

am better here
Chaaaa kazengua, kuna haja ya wapenzi muwe kwanza mnafundishwa hii njia ya kalenda .

Yaan kaukosa mzigo kizembe sana namna iyoo .. Mimba ??? Siku moja baada ya P ?? Daaahhhh .

Mama , siku ukimaliza P kama nileo..kesho yake tustuane
 
Au jamaa wa kusoma? Anaogopa kuhudumia ahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda kabisa akawa wakusoma , alafu nin iyo sio siku ya mimba aseee , bora aseme ilikua wakat wa period ( baadhi ya akina mama wenye mzunguko mfupi mfupi huwa hii kitu inawasibu)

Ila daaaahhh upele humuota asiye nakucha
Ndo ivo,,, hizi kwetu huwa hazitokei,,, maaana never miss the taget

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…