Nimeumia sana kumsaliti mke wangu, lkn ishatokea siwezi kubadilisha kitu

Wiki iliyopita nilileta kisa hapa cha kula demu aliekeketwa, wengine waliponda na wengine kushare tukio lile. lakini niwaambie jamii forum n sehem ya kujifunza na ndio maana hatutaji majina ya watu, watu wanasema wamekula tunda kimasikhara hawawataji waliowala kulinda hadhi yao. Anyway niende kwenye mada tajwa;

Nikiri kuwa nampenda sana mke wangu na niliapa sitomsaliti lkn wiki iliyopita nimevunja mwiko wangu ule. Mimi naishi mbali na wife kikazi na mke wangu now ni mother to be, (PREGNANT) so siku yule dada anakuja kunisalimia nilikua najiapia mwenyewe sitojaribu kufanya jambo lolote naye na wala kumgusa nilitaka tupige story akichoka asepe lkn ndio hivo mipango sio matumizi.

BAADA YA MECHI
Kiukweli tulivomaliza mechi tuliahidiana tukutane tena jumamosi hii yaani leo kwa marudio ambayo tulikubaliana iwe usiku mzima maana siku ile ilikua kimasikhara. (hii ilikua ni akili yangu wakati huo), Baada ya manzi yule kuondoka kwanza nilianza kuumia sana moyoni kwann nimefanya vil? niliiumia kwa sababu mke wangu ananiamini sana, na mimi namuamini na sikufanya kwa sababu et yule dada nampenda lkn alikaa kimitego sana that day (men are weak. Basi siku zikaenda na hatimae juzi alhamisi nikiwa niko zangu home tukaanza kuchati na kumuuliza atataka kula nini akija hio jumamosi yaani leo.

Baadae usiku nikawa naongea na wife kwa simu, kiufupi tunapendana sana na wife, baada ya story nikaanza kuwaza kwanini nimfanyie vile maana hastahili kutendewa vile, kiukweli huruma iliniingia maana mke wangu is very inocent, sikupata usingizi vizuri usiku mzima lakini kulipokucha nikaazimia kuachana na huyu msichana ukweli ilikua ngumu lkn ilinibidi kulinda heshima ya mke wangu na imani yangu.

Asubuhi ya jana nilimuandikia binti sms ya kumuomba tusiendelee na mahusiano na kumuomba tu asinifikirie, nilimuomba kiustaarabu sana naona akarespondi poa. Nilipata furaha sana moyoni now nachati na mke wangu nasikia raha sana.

SOMO LA KUJIFUNZA
Wanawake msiwahukumu waume zenu wanapochepuka, they are so weak mwanamke akiamua. Mpende mwoneshe upendo wote, trust me hawezi kuchepuka na hata akifanya atakua guilty sana na ataacha mwenyewe.
Nimetubu hio dhambi na nimejiahidi sitoirudia.
Mkuu wewe huna imani, na jaribu dogo kama hilo limekuangusha. Pole sana, nafahamu nyege zikikuijia tena kwa nguvu utamkumbuka tena huyo mwanamke na utamkaza tena, maadamu umeshamuonja, nyege ikija akili inakuondokea. Hiyo nakupa by experience, wewe natuarally sio mwaminifu.
Kuwa mwaminifu kama Joseph wa Misri yahitaji uwe na akili kama ya malaika. Sikukatishi tamaa, kama ni bado kijana utaendelea kuanguka tu, afu baadaye utaona kawaida, wanawake sio wa kukaa karibu nao, they are veritable siren. Baadae utazoea afu utaona kawaida tu, kwani Mfalme Suleiman wa Israel pamoja na hekima/ experience yake aliangushwa na wanawake kwa kiasi kikubwa sana.
Ili usianguke kwa majaribu ya wanawake yapaswa muda wote uambatane naye, otherwise wanaoweza kusimama ni wachache sana
 
Kurudia lazima urudie,maana kabla uliahidi kutokufanya na ukafanya, kweli you are very weak
 
Vizuri mkuu,
Na maisha magumu haya mchepuko ni hasara tu, maana lazima akuchune,
kama wew apo sema hujatuandikia na isitoshe huenda mke anakuomba hela then unasema huna, unatoa visababu kumbe umempa demu aliye keketwa

Baadae unakaa unajiuliza ni kipi kipya nimepata unaona nothing, unaishia kulia unarud kwa mke wako mikono mitupu na anakupokea vizur na kukupa moyo wakuendelea kutafuta.

Yaah.. inauma sana tutulieni vijana tamaa za mwili hazina maana zaidi ya kukurudisha nyuma tu.
Sana mkuu, kuna mda wife anakuhitaji unamwambia uko busy kumbe kuna jitu moja sehem linakukeep busy
 
Mkuu wewe huna imani, na jaribu dogo kama hilo limekuangusha. Pole sana, nafahamu nyege zikikuijia tena kwa nguvu utamkumbuka tena huyo mwanamke na utamkaza tena, maadamu umeshamuonja, nyege ikija akili inakuondokea. Hiyo nakupa by experience, wewe natuarally sio mwaminifu.
Kuwa mwaminifu kama Joseph wa Misri yahitaji uwe na akili kama ya malaika. Sikukatishi tamaa, kama ni bado kijana utaendelea kuanguka tu, afu baadaye utaona kawaida, wanawake sio wa kukaa karibu nao, they are veritable siren. Baadae utazoea afu utaona kawaida tu, kwani Mfalme Suleiman wa Israel pamoja na hekima/ experience yake aliangushwa na wanawake kwa kiasi kikubwa sana.
Ili usianguke kwa majaribu ya wanawake yapaswa muda wote uambatane naye, otherwise wanaoweza kusimama ni wachache sana
okay thanks
 
wote mnaosema nitarudia inaonekana mmefanya hili swala kua la kawaida kwenu na pengine mm ni mdogo sana kwenu, lakini nilikua nashiriki namna kuchepuka kunaumiza kwa mchepukaji. ikiwa nimeweza kukaa na mke wangu kwa mda wote pasipo kuchepuka, hata hivo nitajitaidi. nikishindwa basi lkn nakiri inaumiza kumtendea mtu kitu ambacho yeye hajui na anakuamini ssana
 
Baba usisikitike sanaa hata wanaochepukaga huwa wanaumia hivi hivi lakini sababu ni mwanzo utazoea tu itafika point na mkeo atajua mpaka michepuko yako safari njema mzee ndo uwanaume huo
asante kwa kunitia moyo
 
wote mnaosema nitarudia inaonekana mmefanya hili swala kua la kawaida kwenu na pengine mm ni mdogo sana kwenu, lakini nilikua nashiriki namna kuchepuka kunaumiza kwa mchepukaji. ikiwa nimeweza kukaa na mke wangu kwa mda wote pasipo kuchepuka, hata hivo nitajitaidi. nikishindwa basi lkn nakiri inaumiza kumtendea mtu kitu ambacho yeye hajui na anakuamini ssana
Mungu akusaidie uweze kumshinda shetani. Siyo tu inakuumiza wewe,siku akijua utajuta maisha yako yote jinsi ambaye anataumia na ndoa itaanzia hapo kusambaratika,hutakaa huaminiwe tena itakuwa ndoa ya ugomvi tu......

Athari za kuchepuka ni kubwa kuliko faida. Nakukumbusha tu kama hukupima,kapime kabisa usije muambukiza mamaK wako.
 
Wiki iliyopita nilileta kisa hapa cha kula demu aliekeketwa, wengine waliponda na wengine kushare tukio lile. lakini niwaambie jamii forum n sehem ya kujifunza na ndio maana hatutaji majina ya watu, watu wanasema wamekula tunda kimasikhara hawawataji waliowala kulinda hadhi yao. Anyway niende kwenye mada tajwa;

Nikiri kuwa nampenda sana mke wangu na niliapa sitomsaliti lkn wiki iliyopita nimevunja mwiko wangu ule. Mimi naishi mbali na wife kikazi na mke wangu now ni mother to be, (PREGNANT) so siku yule dada anakuja kunisalimia nilikua najiapia mwenyewe sitojaribu kufanya jambo lolote naye na wala kumgusa nilitaka tupige story akichoka asepe lkn ndio hivo mipango sio matumizi.

BAADA YA MECHI
Kiukweli tulivomaliza mechi tuliahidiana tukutane tena jumamosi hii yaani leo kwa marudio ambayo tulikubaliana iwe usiku mzima maana siku ile ilikua kimasikhara. (hii ilikua ni akili yangu wakati huo), Baada ya manzi yule kuondoka kwanza nilianza kuumia sana moyoni kwann nimefanya vil? niliiumia kwa sababu mke wangu ananiamini sana, na mimi namuamini na sikufanya kwa sababu et yule dada nampenda lkn alikaa kimitego sana that day (men are weak. Basi siku zikaenda na hatimae juzi alhamisi nikiwa niko zangu home tukaanza kuchati na kumuuliza atataka kula nini akija hio jumamosi yaani leo.

Baadae usiku nikawa naongea na wife kwa simu, kiufupi tunapendana sana na wife, baada ya story nikaanza kuwaza kwanini nimfanyie vile maana hastahili kutendewa vile, kiukweli huruma iliniingia maana mke wangu is very inocent, sikupata usingizi vizuri usiku mzima lakini kulipokucha nikaazimia kuachana na huyu msichana ukweli ilikua ngumu lkn ilinibidi kulinda heshima ya mke wangu na imani yangu.

Asubuhi ya jana nilimuandikia binti sms ya kumuomba tusiendelee na mahusiano na kumuomba tu asinifikirie, nilimuomba kiustaarabu sana naona akarespondi poa. Nilipata furaha sana moyoni now nachati na mke wangu nasikia raha sana.

SOMO LA KUJIFUNZA
Wanawake msiwahukumu waume zenu wanapochepuka, they are so weak mwanamke akiamua. Mpende mwoneshe upendo wote, trust me hawezi kuchepuka na hata akifanya atakua guilty sana na ataacha mwenyewe.
Nimetubu hio dhambi na nimejiahidi sitoirudia.
Wewe umemsiti mke wako na sisi tunakusaidia kutanua njia kwa mkeo.Malipo hapahapa!
 
Comment chonganishi hii
Ukweli Mchungu ila ndio Hali halisiii...!! Hasa ukicheck mke wake yupo mbali aisee Anajidanganya tu hapaa ilaa atamsaliti tena mapema tu maana hata mke wake kule ukute na mimba yake anagawaa utamuu kama kawaa na wenye mimba zinakuwa na jotoo balaa
 
Kwa mfumo wa lyf yangu, ikitokea kuchepuka huko wala haiwez kuwa bahat mbaya.itakuwa planned act tu not otherwise.Ni ngumu kwakwel kias kwamba kuna wakat unataman uchepuke lakin still haiwezekan..Ni mfumo tu...

Kama fid Q alivyosema
" unaijenga tabia halaf tabia inakujenga"

Finally unakosa controll kwa principle ulizo establish mwenyewe
 
Back
Top Bottom