Nimeumbuka wakuu,Msaada ndugu zangu wanajamvui

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
Wakati natumia PC kunafile niliselect nikakomand adobe ili isome ilo file,matokeo yake icon za kwenye desktop zikabadilika na ukizifungua zinafunguka kwa kutumia adobe,yan icon zote isipokuwa ya icon ya recycle bin na computrer ..naomba kuwasilishanataguliza shukrani
 
Search kwenye post za humu ndani kuna mtu niliwahi kumsaidia tatizo kama hili lako....
 
Washa computer yako then ikishawaka inategemea na computer yako ni ya aina gani access kwenye safe mode then nenda ka restore mpaka ile siku ambayo umechanganya hayo mambo na computer itakuwa normal kama kawaida....
 
wakuu nimerestor tatizo lipo palepale
 
mkuu nimedownload but nimeshindwa kutumia
naomba mwongozo wako
Extract ilo file ulilodownload... baada ya hapo run ayo mafile yaliyopo ndani yake moja baada ya lingine. Ukimaliza restart computer yako na tatizo litaondoka. Ukishindwa nitumie no yako ya simu nikupigie nikupe maelekezo
 
du kiongozi yote 80 niyarun?
 
Extract ilo file ulilodownload... baada ya hapo run ayo mafile yaliyopo ndani yake moja baada ya lingine. Ukimaliza restart computer yako na tatizo litaondoka. Ukishindwa nitumie no yako ya simu nikupigie nikupe maelekezo
yote 80?
 
Search kwenye post za humu ndani kuna mtu niliwahi kumsaidia tatizo kama hili lako....
Pole kwa usumbufu najua tunakusumbua ila nawe Kuwa mungwana kwani ukimsaidia nini tatizo pili his utakuwa ukimsaidia watu wengi mana hata kesho utakuwa umetukomboa hata kesho tunaweza Tia msaada kwa wenginen
 
Soma comment za juu nimeshampa link ya kudownload ilo file.. pia naona kuna mtu apo juu amewliweka kwenye 4share o unaweza kulidownload
 
Back
Top Bottom