safi sana twen'zetu bhana
Mr Rocky sogea hatua kumi nyuma unapozungumza na my wife. !
Mr RockySlave mimi mtu mwema sana aise namshauri vyema mke wako Evelyn Salt bana sina nia mbaya
Mr Rocky
hata mie najua u mwema sana kwangu ila naomba usogee mbali kidogo mnapo zungumza na my nkulo
Hahahahahahaaaaaaaaaaaa!
Utajiju!
Unaikumbuka ile story ya mzee TOLA aliyekula konokono?bila shaka mtakua na ka undugu.
Mr Rocky kaka yangu nimekubari kukuamini ila kila unapotaka kuzungumza nae lazima unipe taarifa ili nisikie mnacho zungumza.Slave niamini kaka yako siwezi kukuangusha mkuu kwa mkeo Evelyn Salt
Angel Nylon u mzima?Looollss
hadi niwe mkubwanauliza.... Lini utaanza kulala na hela '?