Nimeumbiwa moyo mpweke

Hongera sana maana una moyo wa kipekee. Hadi umempangishia nyumbaaa? Very exceptional
 
Kwa kweli kumpenda mtu juu juu huwa siwezi ndio maana akijua Nmpenda ananiendesha atakavyo
 
Hili tatizo nikubwa walio wengi wamejawa na tamaa ndio mahaana wanashindwa kuwa waazi endelea kumuomba mungu akufanyie wepesi mm mwenyewe ni muhanga katika hili lakini uwa nawaacha wanaenda zao natambua kuwa awawezi shinda kamwe kuzitimiza tamaa za mwili wao
 
Pesa ndio mwisho wa matatizo...
tafuta hela mkuu
 
Lazma utakua mtu flani mpole mpole sana af decent watu kind hii wanakuaga wanaboa kuwa nao, sio watamu....ila bad boys oooshhh ni Zaid ya watamu , pole jifunze kuwa "bad boy" ukishindwa basi subiri tu bwana atatenda muujiza atakuletea sister maria wa kafanana na wewe pole sana
 
Utakuwa na tatizo flan mkuu. Jitafakari thn ujirekebishe au uwe unamsoma kwnz dem yukoje na anataka nini.
 
Utakuwa na tatizo flan mkuu. Jitafakari thn ujirekebishe au uwe unamsoma kwnz dem yukoje na anataka nini.

Anataka nini wakati anacho kitaka anapata sasa labda kutembea na staff mwenzake ndo alicho kuwa anakitaka hadi kafanikiwa
 
Aisee kumbeee
 

Endelea hivvyo hivyo kwa siku kumi kisha unitafute!!
 
Pole mkuu, hizi ni changamoto za maisha. Kupendwa usipopendwa ni jambo la kawaida, cha msingi usitumie mda mwingi kuilaumu nafsi yako ilhali hukujua kama ni chaguo lako. Endelea na maisha yako ya kawaida ipo siku utampata mtu sahihi kwako.
 
hao dawa yao ni kuwatia mimba tuu mkuu so hata akikuacha lakini hatokusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…