Nimeulizwa na mdada nina michepuko mingapi?

Sasa unajiuliza nini hapo, mjibu alafu msikilize atasemaje,
 
Mwambie wewe bikra wa kiume bdo
 
Wewe unaitwa mkwala, unashindwaje kumpiga mkwala asikujaribu. Hajui kama wewe unao tisa na yeye ni wa kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…