NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
khatari imefikia hapa?
UmeniwahiWw ni Ke?!
Mwambie wewe bikra wa kiume bdoWasalaaaam,kwa kweli nimejikuta katika wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa muda kidogo kuniuliza idadi ya michepuko niliyonayo.Mpaka sasa bado nalitafakari swali hili mpaka nahisi kuna kitu kimejificha.Naombeni mnisaidie nimjibu vipi ili nisiharibu urafiki wetu.
Wewe unaitwa mkwala, unashindwaje kumpiga mkwala asikujaribu. Hajui kama wewe unao tisa na yeye ni wa kumiWasalaaaam,kwa kweli nimejikuta katika wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa muda kidogo kuniuliza idadi ya michepuko niliyonayo.Mpaka sasa bado nalitafakari swali hili mpaka nahisi kuna kitu kimejificha.Naombeni mnisaidie nimjibu vipi ili nisiharibu urafiki wetu.