Nimeulizwa hili swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeulizwa hili swali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NATA, May 5, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jana nimetoka job kufika tu mwanangu ananiuliza
  eti kuku na yai nani alianza?
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 9,916
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri jibu mkuu
   
 3. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Unatakiwa umjibu kuwa alianza kuku. Sasa hapa inategemea kama wewe unaamini katika "uumbaji" na si vinginevyo. Na utaanza kumweleza dunia ilivyoumbwa, wanyama walivyoumbwa, ndege walivyoumbwa, mpaka binadamu. Kwa hiyo. Utakachomweleza ataamini kabisa, na usimdanganye.
   
Loading...