Nimetumwa....Kwenu akina dada!!

Nimetumwa....Kwenu akina dada!!

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
[h=5]Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea,na kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga...next time unaacha pichu,tena nyuma ya mlango...next time unaacha hereni..Next time gagulo...Hivi hii tabia mmepewa na mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo as if hao watu wana kabati special ku-accomodate miguo yako kwao...Eti madai yenu mnaacha alama ili incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme hili,wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi wanunue mabegi maalum kuficha madude mnayojifanya mmeyasahau,kumbe makusudi tu,waone kwanza!,mwishowe haya magheto yanakuwa kama ya muuza mtumba,Vibanio,pichu,pajama,khanga,lipshine ,mawigi,mwishowe rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls' items,SIO HESHIMA....njoo salimia,beba mikanga yako nenda nayo kwenu,sisi sio wauza urembo![/h]
 
Hahaaaa dah umeongea kwa uchungu jamaa kwani washkaji wameona wig wakadhan umekua chakla nini? Wenyewe wanaita "marking the terittory"
 
Hahaaaa dah umeongea kwa uchungu jamaa kwani washkaji wameona wig wakadhan umekua chakla nini? Wenyewe wanaita "marking the terittory"

ha ha haaah!! Kumbe ndio maana yao......!!
 
haya bana.....tutasemaje sasa.....japo siku hizi hatuachi vitu....tumegundua njia m'mbadala ya ku maki teritori.....
 
haya bana.....tutasemaje sasa.....japo siku hizi hatuachi vitu....tumegundua njia m'mbadala ya ku maki teritori.....

halafu unakatika katika wewe? Sikusomi kabisa na mwogozo wenu na PakaJimmy!
 
Last edited by a moderator:
Hebu nicheki,,,na mandrive bito,naman drive combi,hebu nicheki ninavyowaka....
 
kaeso hujui kupenda wewe yani kwa anayejua anaweza kuitundika sebuleni hadi rahaaa kuiona chupi ya mupenzi
 
kumbe mbinu hizi zinatukwaza wengi? mie ilibidi nihamie lodge kila nikipata mgeni,ili kama anaacha mizigo aiache hukohuko lodge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom