Jamani jana niliamua kupitia kwenye ofisi za mitandao ya simu maana mie ninatumia laini mbili voda na airtel, nilipita kuulizia salio langu tangu nianze kutumia Simu, lahaulaa sikuamini masikio yangu nilipoambiwa nimetumia jumla ya sh milioni 50..! jamaa nikawaambia Tugawane wanipe hata nusu yake wakagoma...nimechukia situmii tena huduma zao na kuanzia leo napatikana kwa S.L.P 10584, Moshi!