[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama uliweza kuwaza hayo mpaka kufikia kufoji vyeti basi jaribu kuwaza namna nyingine iliyobora zaidi kuziba gap
Maisha ni haya haya, hamna ugumu wala wepesi. Ila kuna milima na mabonde. Kuna mawili wakati wa kupanda mlima, moja kuona Kazi ya kupanda mlima ni changamoto, pili, kuona upandaji milima ni adventure.Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau

Kama una familia niuzie mkuu...maana ndiyo faida ya kuwa na assets, zinakufaa kwenye dhikiJamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
Swali zuri sana, halafu hawa ndiyo waliokuwa mbele kuwaambia vijana wajiajili lakini wao wametumbuliwa wanaanza kulialia.
Yaani hukombele ndio anasingaje....!?Kama ni kweli usife moyo mkuu. Kaza moyo songa mbele.
Inawezekana mkuu, humu watu tuna mioyo tofauti sana aiseeeeesizaniii,,mtu aliyefoji cheti hawezi kuja kuandika thread hivi humu jf
Akikujibu naomba uni tagJina lako namba ngapi kwenye list