Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Ebu ngoja nikatoe lock kwanza nitakuletea jibu badae.....
Ulikua unamtongoza?
Nawe mtukane mwambie 'aihuuu' ngoma droo
Hapana... kwani mtu anaetongoza mara nyingi upata jibu kama ilo?
"...inahuu" ni msemo wa "kimpasho" imetokana na neno "inahusu" - inahusu!? Matumizi yake labda iwe yameanza kubadirika. Mfano: kituo cha 'drive-inn cinema' kuanza kuitwa 'drive inn' na hatimaye 'drai' (dry)...

kwanini sasa asinambie tu Inahusu mpaka aweke misemo yake ya mipasho? leo ntalala polisi we ngoja..
Pole kaka mi jioni moja narudi home na kimkweche changu nasikia konda wa daladala ananiambia oya acha kumbwelambwela,nilitamani kushuka nipigane.Maana ni bora unitusi nikakuelewa kuliko kunitusi halafu nisielewe maana yake...

shikamoo!za kupotea?