Nimetua mzigo, sihitaji mwanaume tena

Nimetua mzigo, sihitaji mwanaume tena

Moniccca mama njoo kwangu "hautajuta" ni dyudyu usiku kucha.
 
Monii kwani before marriage zile mechi za mchangani mlikuwa hamchezi?😵😵
 
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Unaifukiaje sasa????
kwani mihogo imeisha???
 
Monii kwani before marriage zile mechi za mchangani mlikuwa hamchezi?😵😵
kama sijasahau alikuja hapa kwa mbwembwe kutualika kwenye harusi yake na akisema amepata mwanaume wa maisha yake, vumilia mama ndoa ndoano
 
For better... For worse... I will be with you... (Mungu Anakuona tu)
 
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Kuifukia ni uamuzi wako maana ni ya kwako, hata hivyo unatoa nafasi kwa wenzio wenye shida ya mihogo waipate maana KE ni wengi kuliko ME
 
Sasa kukataa wanaume na kumkimbia mshkaji ndo utakua umetatu tatizo la kuondoa matamanio ya kimwili? Au baada ya maamuzi hayo hisia za kimaumbile zimepotea?
 
Back
Top Bottom