Nimetokwa na vipele, naomba msaada wa tiba

Nimetokwa na vipele, naomba msaada wa tiba

Kinga yako ya mwili imeshuka sana. Kapime damu kubwa then utajua what are you dealing with.
Haitakua mwisho Dunia u will be fine mkuu.
 
284BCB9E-4F20-4D61-9A90-A8BE244FDFD5.jpeg
Wazee wa kusimamia kucha 😹😹
 
Nenda hospitali kubwa muone daktari bingwa wa ngozi utapata msaada mzuri zaidi kuliko kwenda kwenye hizi zahanati mara ngingi wanakuwa na general doctors tu
 
Mbona ni kama vile vya gono
Anyway wahi chap hosptl
 
Kinga yako ya mwili imeshuka sana. Kapime damu kubwa then utajua what are you dealing with.
Haitakua mwisho Dunia u will be fine mkuu.
Dr. hivi ni lazima mkanda wa jeshi utokee maeneo ya tumbo?

Hauwezi kutokea shingoni ana mikononi?

Ama ndo chanzo cha kuitwa mkanda wa jeshi?
 
Ushauri wa wadau humu, unaweza futa Uzi wako walahiii!❗🥲😭😭
 
Jibu lipo kwenye majibu ya hospital ambayo naona huyataki; ushauri wa maana kabisa:

1. Ruhusu mke apandikizwe mbegu bila kujua Mhusika - mwenye Mbegu.

2. Ongea naye kama atakubali muishi hivyo milele ( Atakuja kuzaa tu na mtu , so jiandae )

3. Muache, katafute mwanamke mwenye watoto uwaasili ( Huna haja ya kumwambia huwezi kuzaa, atakunyanyasa )
 
Back
Top Bottom