Mmh haya mkuu..!! Ntakuja kutest nione ilaa kuna mshkaji amesemaa zina Bars kama biskutEti simu za wazee ? Bado huzifahamu simu za Nokia android simu mpya hiz
Sent using Jamii Forums mobile app
msg mpaka app???? Alafu unakaa unasifiaa ujinga hapaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Message tumia application Yao .ukiandika text yako kupitia settings ya simu serve laini yenye kifurushi cha SMS au hata hapo kwenye app utaona send via laini yoyote hata kama no zako zipo email
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama unatumia Nokia Windowsmsg mpaka app???? Alafu unakaa unasifiaa ujinga hapaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavosema 13MP na 5MPkweny same brand,lazma 13 itoe picha kali bado sio sahihi,,kuna same brand kama S5 ina MP 16 ,wakati huo huo S7 ina 12MP tu..sasa utasema S5 yenye 16MP inapicha kali kulko S7 yenye mp 12 tu?MP ofcoz sio kigezo sana inategemeana na simu...Lakini hicho pia ni Kigezo..!! Camera Mega PX 13 ya Tekno na 5MP ya Tekno 13 ina pichaa kali... Lakini 20 ya tekno na 5 ya iphone.. ya iphone inakuwa kali so MP kwenye same brand ina matter sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ofcoz lakini fasta fast MP huwa zinadertemine ukali wa Picha... Simu yenye MP 2 its hard kutoa picha kuliko yenye 5 so MP matter pia..Unavosema 13MP na 5MPkweny same brand,lazma 13 itoe picha kali bado sio sahihi,,kuna same brand kama S5 ina MP 16 ,wakati huo huo S7 ina 12MP tu..sasa utasema S5 yenye 16MP inapicha kali kulko S7 yenye mp 12 tu?
Same kwa iphone yenye 5MP itaipita tecno yenye 13 MP kwasababu hyo iphone ina Sensor nzur plus camera software nzur
Ila ikitokea Tecno akafunga sensor nzur na akawa na software iliyotulia..bas hyo Iphone yenye 5MP haitofua dafu
So issue sio MP as vile ulivyo insist kweny post hapo..
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kwa mfano simu yenye MP2 ina aperture ya f/2.0 na yenye MP5 ina aperture ya f/2.8, Simu yenye MP5 itakuwa inatoa picha nzuri kuliko ya simu yenye camera MP2?ofcoz lakini fasta fast MP huwa zinadertemine ukali wa Picha... Simu yenye MP 2 its hard kutoa picha kuliko yenye 5 so MP matter pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sidhani kama mtu ataweka camera MP 5 alafu aperture ikawa kubwa Hivyooo.. Increase in MP huwenda pamoja na modification ya aperture size kupunguaa kwa akili ya kawaida tuu... Huwezi weka tekno yenye MP 2 kuwa na f ndogo kuliko yenye 5 for the same brand huo ni Ujingaaa...Kwa mfano simu yenye MP2 ina aperture ya f/2.0 na yenye MP5 ina aperture ya f/2.8, Simu yenye MP5 itakuwa inatoa picha nzuri kuliko ya simu yenye camera MP2?
Jamaa wa invest kwenye matangazo yawasaidie kurudi kwenye chati. Otherwise watasubiri sanaaHapana mkuu.Ni bei ya kawaida sana.Watu wengi hawajui tuu.Wakigundua wata enjoy saana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120]Jamaa wa invest kwenye matangazo yawasaidie kurudi kwenye chati. Otherwise watasubiri sanaa
Hautojutia mkuu.Mzigo uko pouwa.Karibu Nokia.Nataka kuagiza huu mzigo very soon
Cc Chief-Mkwawa naomba mawazo yako hapaView attachment 983619
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Aiseee halafu unazisifia yaani msg mpaka app. [emoji1787][emoji134][emoji134]Message tumia application Yao .ukiandika text yako kupitia settings ya simu serve laini yenye kifurushi cha SMS au hata hapo kwenye app utaona send via laini yoyote hata kama no zako zipo email
Sent using Jamii Forums mobile app
Kcamp happy new yearSasa hilo sio swala la MP mkuu...
MP ni ukubwa tu wa picha..na sio picha kua kali..
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
HahahahahHizi simu hakuna kitu,nimetumia nokia 5 magumashi tu,UI yake imekaa kama itel,network bar zimekaa kama biskuti,yaani ni upuuzi flani sikuutegemea.
Na kama wataendelea hivi hawataamini kinachowakuta.
Mwenyewe nimeshangaamsg mpaka app???? Alafu unakaa unasifiaa ujinga hapaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha system application unaikuta kwenye simu ukinunua.inakuwepo kama fileAiseee halafu unazisifia yaani msg mpaka app. [emoji1787][emoji134][emoji134]
Happy new year Shunie..... It's been a while..[emoji3]Kcamp happy new year