Hakika [emoji120][emoji120][emoji109]. Natumia nokia 5 , full raha.Hawa jamaa wako poah sana siku hizi..Soon wata announce hichi kitu chako NOKIA 9 EDGE..ni Bonge la simu..View attachment 980704
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip mkuu ni nzuri??Hakika [emoji120][emoji120][emoji109]. Natumia nokia 5 , full raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri saana mkuu.security patch level update kila mwezi.Najiandaa kuipokea android Pie, yaani android toleo la 9.Angalia specifications zake.
Kivp mkuu?Nokia ni simu nzuri, The Problem ni kwamba hizi simu ni very Costly.. Heri ununue Samsung/Iphone
Gharama.. sana hizoKivp mkuu?
Hapana mkuu.Ni bei ya kawaida sana.Watu wengi hawajui tuu.Wakigundua wata enjoy saana.Nokia ni simu nzuri, The Problem ni kwamba hizi simu ni very Costly.. Heri ununue Samsung/Iphone
Ila kamera Yao ni Kali sanaExperince mbovu sana ikilinganisha na samsung. Kitu kimoja walicho jitahidi ni betri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembelea jumia,bei ni poa saana.Nokia 1 ni 150000/=, Nokia 2 mpaka Nokia 5 ni range ya 250000 mpaka 450000/=
Mi Nina Nokia 2.1 nawazidi wengi wenye misumsung na nimeshawaishi wengi kununua hiz simuTembelea jumia,bei ni poa saana.Nokia 1 ni 150000/=, Nokia 2 mpaka Nokia 5 ni range ya 250000 mpaka 450000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera saana mkuu.Hakika uko sehemu bora na salama.Mi Nina Nokia 2.1 nawazidi wengi wenye misumsung na nimeshawaishi wengi kununua hiz simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinunua shiling ngapi?Mi Nina Nokia 2.1 nawazidi wengi wenye misumsung na nimeshawaishi wengi kununua hiz simu
Sent using Jamii Forums mobile app