SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
- Thread starter
-
- #21
hahaha Aiseeee
Mkuu sasa hii njia unafikiri hitasidia hata kidogo?
Sasa utasaidiwa vipi?
Mkuu kama ni akanana wangu unaye muongelea hapa na kuhakishia utapotea kwenye hili jukwaa!life ban ina kuhusu
Kama ni yeye na kushauri ufute huu uzi!
Kila la kheri!
Mtumie hela uone .. . ..
Cc DinazardeEwe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na sasa hivi nimekuwa kero kwako hutaki kabisa kuongea na mimi.Mrembo--------ina maana wewe unachukia kupendwa? Kwa nini unanifanyia hivi? mbona unanifanyia mbona mwanzoni tulikuwa tunazungumza vizuri tu kwa kipindi hiki unanifanyia hivi sio vizuri hivyo mimi nakupenda ,nakufuatilia ,nakufikiria lakini nakushangaa mwenzangu kama vile huna mpango na mimi kuwa na huruma basi nifikiriefikirie basi ewe mrembo----- kama mimi navyo kufikiria hakika mimi nakupenda naomba na wewe unipende kama kunasehemu nilikuuzi nisamehe kwa kweli ------ nakupenda sana.Nimesita hata kukutaja nisije nikazidi kukuuzi zaidi ukani report abuse nikapigwa banned .LAKINI NAAMINI UJUMBE WANGU UTAKUWA UMEUPATA .naomba tusameheane na tuuboreshe uhusiano wetu.Nakutakia jioni njema-------
Ewe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na sasa hivi nimekuwa kero kwako hutaki kabisa kuongea na mimi.Mrembo--------ina maana wewe unachukia kupendwa? Kwa nini unanifanyia hivi? mbona unanifanyia mbona mwanzoni tulikuwa tunazungumza vizuri tu kwa kipindi hiki unanifanyia hivi sio vizuri hivyo mimi nakupenda ,nakufuatilia ,nakufikiria lakini nakushangaa mwenzangu kama vile huna mpango na mimi kuwa na huruma basi nifikiriefikirie basi ewe mrembo----- kama mimi navyo kufikiria hakika mimi nakupenda naomba na wewe unipende kama kunasehemu nilikuuzi nisamehe kwa kweli ------ nakupenda sana.Nimesita hata kukutaja nisije nikazidi kukuuzi zaidi ukani report abuse nikapigwa banned .LAKINI NAAMINI UJUMBE WANGU UTAKUWA UMEUPATA .naomba tusameheane na tuuboreshe uhusiano wetu.Nakutakia jioni njema-------
Hii ni mada ya kipuuzi kabisa. Haya ni mambo yako binafsi. Hayatuhusu.
Hahahahaha Mwanamalundi welcome back!Hii ni mada ya kipuuzi kabisa. Haya ni mambo yako binafsi. Hayatuhusu.
mlikuwa mnaongeaje?Kakataa Kuniambia Contact Zake sasa nitamtumiaje.
Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa mkuu ulipotea nauliza ingawa najua hayanihusu
Hahaha naona umeamua kutumia silaha nyingine.a.rahabu najua huwezi kuamini lakini ukweli ndo huo mrembo ------------- tuliyekutana nae kwenye lile jukwaa kashanikataa.Najua wewe ni rafiki yake basi nakuomba utupatanishe kati yangu na ------- Kwa Kuwa Wewe Ni Rafiki Yake Labda Anaweza Kukusikiliza Nisaidie Kutupatanisha Please.
Dah kama hapo hajakuelewa basi ana moyo wenye kutu maana umenung'unika,plz----------- muonee huruma kijana
Hahahahahaha!! kutongoza kugumu ckulijua hili..
hahaha Aiseeee
Mkuu sasa hii njia unafikiri hitasidia hata kidogo?
Sasa utasaidiwa vipi?
Mkuu kama ni akanana wangu unaye muongelea hapa na kuhakishia utapotea kwenye hili jukwaa!life ban ina kuhusu
Kama ni yeye na kushauri ufute huu uzi!
Kila la kheri!
Hii ni mada ya kipuuzi kabisa. Haya ni mambo yako binafsi. Hayatuhusu.