Nimetokea kukupenda Nakshi

Nimetokea kukupenda Nakshi

Na hivi hana hamu na mmewee hiyo hamu ataipata kwako ila #nakshi usimsuprise ohoooooo
 
Nenden love connect

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Nadhani avatar hahahhhahhha hilo hipsii

kwani nakataa basi kuwa avatar yake ipo vizuri......lakini kuna kitu ambacho kimenipa hamasa zaidi ya hii avatar....yaani sjui.nimwelezeje anielwe kwa kweli.
 
heaven on earth na dinazarde naomben ruhusa niwapende wote kwa mkupuo!..,mnanipelekaga higher km nmemoka cha r chuga..,kwanza heaven ushapona ww?
 
heaven on earth na dinazarde naomben ruhusa niwapende wote kwa mkupuo!..,mnanipelekaga higher km nmemoka cha r chuga..,kwanza heaven ushapona ww?

Makubwaaa ngoja aje Heavenonearth !!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa style hii ukimkosa basi tenaaaa....maana hata PM kwako haionekani
 
Back
Top Bottom