Nimetoka mpiga dalali Mbezi Luis leo

Nimetoka mpiga dalali Mbezi Luis leo

jirani ukiwa maeneo hayo Mambo mengi potezea[emoji1787] huyo mshkaji aliona Kama unamzibia rizki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sipendi kufwat fwata vile
 
wee nenda naotu wakukatie tiketi usepe zako.muda mwingine wanasaidia wanakusaidia Hadi mizigo

Hapo kwenye kusaidiwa sitaki nililipa nauli ya watu wawili kutoka dar to arusha kwaio nawachukia sana walinizungusha sana
 
When I was young I used to think people with big lips šŸ‘„šŸ‘„ speaks in Capital Letters 🤣
 
endelea kujifanya mbabe JF,lakini naamini na nina uhakika ukikaa Mahabusu siku moja tu utapungua uzito wa kilo 20 na kujuta kwa lugha zote,nimekushauri na kukuonya,acha tabia ya kurusha ngumi kwa chukizo dogo tu,time will tell
 
Hellow

Leo nimepata makasririko gafla sana yaani nilikuwa naenda zangu mbezi kwa magufuli na mgeni wangu nimeshuka kwenye gari mdada anakuja unaenda wapi nikamjibu mbinguni yapo mabus? Akaniacha niendelee nasafari yangu

Mbele tena nakutana mwingine kaka wapi mdogo wetu wapi mbona hujibu mh unaharaka utafikiri unaenda kumzika baba yako ase nilichukia hilo jibu nikifikilia baba yangu kafariki kaniacha mtoto niligeuka na kofi moja akaangukia kwenye fensi

Wakaja nishika watu bila ya watu ningemfundisha adabu huwa sipendi ujinga na nachokaga sana nikiwaza kwenda kwa magufuli nikifikilia tu madalali
Wajomba wanaboa sana hawa madalali.
Kuna siku naenda njombe wakanikatia tiketi elf 39 nikasema poa kwavile nimekaa mjini mda mrefu nauli itakua imepanda kufika kwenye gari konda akaandika kwenye ticket elf 25🤣 Aloo moto uliwaka pale nikamwambia kinda andika pesa niliyolipa iende Kwa boss au la rudisheni ela yangušŸ˜‚ ama niende polisi ikabidi wanirudishie 11k maana nauli ni 28 ilikua
 
Hellow

Leo nimepata makasririko gafla sana yaani nilikuwa naenda zangu mbezi kwa magufuli na mgeni wangu nimeshuka kwenye gari mdada anakuja unaenda wapi nikamjibu mbinguni yapo mabus? Akaniacha niendelee nasafari yangu

Mbele tena nakutana mwingine kaka wapi mdogo wetu wapi mbona hujibu mh unaharaka utafikiri unaenda kumzika baba yako ase nilichukia hilo jibu nikifikilia baba yangu kafariki kaniacha mtoto niligeuka na kofi moja akaangukia kwenye fensi

Wakaja nishika watu bila ya watu ningemfundisha adabu huwa sipendi ujinga na nachokaga sana nikiwaza kwenda kwa magufuli nikifikilia tu madalali
Mkuu umempiga kwa mikono yako mwenyewe au ilikuwa ni ndoto tu?

Maana ndoto nazo waweza kuzitungia simulizi katika sura ya uhalisia.

Sioni mantiki yoyote ya ugomvi hapo.

Ujue kila eneo lina mazingira yake, utamaduni wake na lugha zake.

Ukianza safari kwa usafiri wa mabasi unapofika stendi ni lazima ukutane na hao watu na lugha zao hizo za mitaani.

Kurusha ngumi ni dalili za ukorofi uliopitiliza, kukosa ustaarabu, kukosa uhimilivu na kukosa uvumilivu.

Wafungwa wa matabaka yote mpaka wale wa "condemn", ukipata wasaa kuhoji mmoja mmoja akueleze sababu zilizomtia matatani, wengine watakueleza chanzo chake ni sababu za kujitakia kama za kwako hizo.

Jiepushe siku zote kujiingiza katika shari zisizokuwa na manufaa.

Kunguru mjanja na muoga huziepusha mbawa zake, ndiyo maana huishi miaka mingi.

Kosa la kupigana hadharani unalijua adhabu yake?

Uliyempiga, ulimpima afya yake ukabaini ni mzima wa afya inayohimili vishindo vya masumbwi yako?

Ungelimpiga akazima mazima ungelikuja kuanzisha thread hapa?

jamani vijana nyie!
 
Acha kupigana,safari hii utafungiwa mulemule stand mpaka kesho yakešŸ˜‚
 
Usipige mtu hadi aguse mwili wako,hapo itakuwa unajihami hata ukirusha ngumi
 
Madalali wa pale wanaleta sana yaani wanakufuata na kukuukiza maswali gta ukimwambia huendi huko bado anafosi kukuukiza mahali pengine unaonda kama kwamba wewe hujui kitu. Mimi nilishawahi kumjibu naenda Qatar.
 
Back
Top Bottom