Nimetoka mpiga dalali Mbezi Luis leo

Nimetoka mpiga dalali Mbezi Luis leo

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,897
Reaction score
67,394
Hellow

Leo nimepata makasririko gafla sana yaani nilikuwa naenda zangu mbezi kwa magufuli na mgeni wangu nimeshuka kwenye gari mdada anakuja unaenda wapi nikamjibu mbinguni yapo mabus? Akaniacha niendelee nasafari yangu

Mbele tena nakutana mwingine kaka wapi mdogo wetu wapi mbona hujibu mh unaharaka utafikiri unaenda kumzika baba yako ase nilichukia hilo jibu nikifikilia baba yangu kafariki kaniacha mtoto niligeuka na kofi moja akaangukia kwenye fensi

Wakaja nishika watu bila ya watu ningemfundisha adabu huwa sipendi ujinga na nachokaga sana nikiwaza kwenda kwa magufuli nikifikilia tu madalali
 
nilichukia hilo jibu
1673237967717.jpg

Punguza hasira mkuu
 
Ushaanza kutoa single mfululizo utapotea soon.....ngoja iyo kwanza inayohit upige pesa mzeee.....mtoto wa dada.......

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nitulie et ee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wagonjwa ni wengi kuwa makini,siku nyingine utampiga mtu hivyo ataanguka chini na kifo kitampata hapohapo,mpaka Mahakama ije iambiwe kwamba ulianzwa kuambiwa lugha isiyofaa utakuwa umeshasota Mahabusu Segerea miaka 5,kumbuka hasira ni hasara

Lakini hao wagonjwa ndio wakorofi
 
Back
Top Bottom