Nimetoka Kusali Jumuiya...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Mapendo wakristo wenzangu. Leo donlucchese nikasema hapana, piga ua lazima niamke mapema nikasali jumuiya. Nashukuru nimefanikiwa japo baadhi ya wanajumuiya walitaka nisimame nijitambulishe wakidhani ni mWanajumuiya mpya (LOL). All in all nawatakia weekend njema, ngoja nifanye laundry ili baadae kama kawa Mlimani Cityyyy uzunguni!
 
Last edited by a moderator:

Hongera
 
Last edited by a moderator:
jumuiya jumamosi si mchezo yataka moyo.....unatakiwa usiwe na mning'inio wa bata za ijumaaa.....mwenyewe nimeenda na baada kukosekana muda mrefu....wiki ijayo itakuwa gheto ...hapo haikwepeki
 
Hapo kweli hauchomoki!
 
jumuiya jumamosi si mchezo yataka moyo.....unatakiwa usiwe na mning'inio wa bata za ijumaaa.....mwenyewe nimeenda na baada kukosekana muda mrefu....wiki ijayo itakuwa gheto ...hapo haikwepeki

Nakuja tushiriki sote
 
Nimekumbuka wakati tunaishi kimara....kuna familia moja mkienda kusali jumuiya kwake lazima aandae chai...na inakuwa chai ya maana....basi yani watu wakijua jumuiya ijayo ni kwa fulani....yani hata watoro wa jumuiya siku hyo mtawaona.....
 
Mwez unapita sasa sijaenda kwenye jumuiya....umenigusaje...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…