Nimetimiza miaka 10 ndani ya JF

Nimetimiza miaka 10 ndani ya JF

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,739
Mwezi wa pili mwaka huu, nimetimiza miaka 10 ya kuwepo ndani ya mtandao huu pendwa wa JamiiForums.

Inawezekana ikawa ni miaka michache kwa wengine ila kwangu mimi ni miaka ya kutosha sana.

Nimejifunza mengi sana ndani ya mtandao huu, mungu andelee kumbariki Maxence Melo kwani bila yeye pengine tusingekuwa hapa!

Hongera kwangu kwa kutimiza muongo mmoja.
 
Joined 2021 ,kwa hiyo miaka yote ulikuwa kama guest member au Id nyingine?
ID nyingine mkuu zote mbili zipo active, ID ukishafahamiana na baadhi ya members wengine MMU, Jukwaa la siasa haupo huru tena kutoa maoni, ila ya pili una make sure hufahamiki.
 
ID nyingine mkuu zote mbili zipo active, ID ukishafahamiana na baadhi ya members wengine MMU ,Jukwaa la siasa haupo huru tena kutoa maoni ,ila ya pili una make sure hufahamiki.
Kweli kabisa, mimi tokea nijiunge sijawahi kuwa na Id mchepuko ila nawaonea wengi wakiwa nazo mfano kuna watu nachati nao kwenye normal theard Pm wanakuja kwa Id nyingine wkt fulani.

Hata mimi kuna mada najifikiria kuanzisha na comments nyingine nashindwa kuweka ninavyotamani kutokana na kulinda Id natamani niwe na moja ya kimafia na kujiachia kwa uhuru zaidi.
 
Back
Top Bottom