Nimetimiza ahadi, RIP kadi ya CHADEMA

Uwe unaangalia jukwaa kabla hujapost siasa zako za uchuro
 
Mpaka awe nacheo we hujui kwenye mia ukitoa moja haitasomeka mia tena jiangalie mtaisha kidogo kidogo
 
SO UMEWEKA NA NAMBA YAKO ILI MAGAMBA WAKUPIGIE WAKU~ENLIST KTK BUKU 7 ZA LUMUMBA SIO/be strong,lookat your grandaugher future njaa ya leo kilio cha kesho!
 
Mpaka awe nacheo we hujui kwenye mia ukitoa moja haitasomeka mia tena jiangalie mtaisha kidogo kidogo

ikumbukwe hata cdm ilianza na mtei kisha na hawa wenye mapovu ndo wakajiunga. hata kuanguka kwa cdm wanaanza wasio na vyeo ila wenye kujitambua mpaka abaki brother na mkwewe.
 

Wewe hujitambui, unatafuta umaarufu, anakujua nani wewe kapuku? Kafie mbele kule kinyago cha mpapule
 
sawa ndio siasa za tanzania au afrika kwa ujumla,siasa ni itikadi,hivi ulisha wahi kumsikia mtu katoka democratic amekwenda republican?katika maisha yako yote?
siasa ni itikadi mkuu,unajiunga na chama kwa kufuata itikadi si mtu.
ok kila la kheri ila jua hata Musa alipo toweka,alipatikana JOSHUA
na hata kwenye vyama vya siasa wakina NAHAMANI wapo wengi ila tunamuomba Mwenyezi MUNGU akashughulike nao hao wakina NAHAMANI
 
Mzigo huu afadhali umejitoa chadema maana kwanza haujawai kulipia kadi ya chama na wala haujawahi kushiriki shughuli yoyote ya ujenzi wa chama...hii ndio mizigo ambayo Dr.Slaa kaipa ruhusa ya kuondoka chadema mapema.haya kuna jalala la matakataka linaitwa ccm na majalala mengine madogo ya act uende huko maana wewe ni takataka kabisa
 

Safi sana mkuu. Huo ni ujasiri mkubwa mno.

Sasa huu ni wakati sahihi wa watu wote waliong'amua uongo, unafiki na uhafidhina wa mbowe na slaa kuiga mfano huo.
 
Hongera Mkuu, umetendea haki nchi yako, vizazi vijavyo vitafaidika na maamuzi yako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…