Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi